Mkuu huo kweli upo wapi naona unalalamika tu dhidi ya magazeti.
Kukata mzizi wa fitina tuambie rais wa mioyo yenu yupo wapi.
Kwa njia yeyote ile ulitakiwa kuonyesha Dr.Slaa na Mnyika wapo wapi ili watu wasiendelee kuhoji.
Ahasante.
na hilo litakuwa jibu wala haihitaji maneno mengi,it is just Sijajiuzuru na sio mpangoKwa nn slaa asijitokeze hadharani sasa hv. Tatizo nini?
Ipo haja ya kujua mmiliki wa gazeti husika ni mtu wa upande gan then unapoona hbr kma hzo kwenye hilo gazeti unaachana nazo mfano hata siku moja huwez kukuta gazet la uhuru likiikosoa nyinyiem
Hat Ritz nawe unamtafuta Dr. Slaa na unasema rais wa mioyo? Hata hivyo, hoja yako ni ya msingi. kama Dr. Slaa hajajiuzulu, yupo wapi?
uliosema ameondoka leta ushahidi hapa mwandishi gani unaandika madai za uchunguzi bila ushahidi thibitishia uma kwamba dr.slaa kaondoka chadema kama unavyosema.
Habari zenu wanajamii,chama cha mapinduzi CCM kinagawa rushwa ya Tsh 5,000/= kwa kila mwenye kadi ya chama hicho.Rushwa hizo zinzgawiwa na wagombea wa nafasi ya ubunge na udiwani.Mamlaka husika mpooo.
Nikutoe wasiwasi John Mnyika na Dr.W.Slaa bado wapo cdm,leo Dr atapokea fomu ya kamanda mpya laigwanan ENL...
✖Usiuamini uzushi wa kanjanja MJ.
Ipo haja ya kujua mmiliki wa gazeti husika ni mtu wa upande gan then unapoona hbr kma hzo kwenye hilo gazeti unaachana nazo mfano hata siku moja huwez kukuta gazet la uhuru likiikosoa nyinyiem
Sasa ACT wanahusika nini na Lowassa kujiunga ChademaLeo kuna thread yenye makala ya Dr Lwaitama kuhusu Lowassa kuhamia Ukawa. Dr Lwaitama ameeleza kuwa chama cha ACT ni mradi wa CCM kuvuruga upinzani wa kweli. Na gazeti la Raia Tanzania na ACT ni mradi mmoja. Hivyo usishangae propaganda kama hizi kutoka kwenye hili gazeti.
Mkuu huo kweli upo wapi naona unalalamika tu dhidi ya magazeti.
Kukata mzizi wa fitina tuambie rais wa mioyo yenu yupo wapi.
Kwa njia yeyote ile ulitakiwa kuonyesha Dr.Slaa na Mnyika wapo wapi ili watu wasiendelee kuhoji.
Ahasante.
Leo kuna thread yenye makala ya Dr Lwaitama kuhusu Lowassa kuhamia Ukawa. Dr Lwaitama ameeleza kuwa chama cha ACT ni mradi wa CCM kuvuruga upinzani wa kweli. Na gazeti la Raia Tanzania na ACT ni mradi mmoja. Hivyo usishangae propaganda kama hizi kutoka kwenye hili gazeti.
Hapa Issue sio gazeti, issue ni mambo yanayoendana na gazeti linavyoandika. Wapi kipenzi chetu Dr. Slaa Mnyika? Haiwezekani waende Mwanza kwa Lembeli na Bulaya afu wasiwepo kwa Lowasa then mnakuja na Cheap story hapa....
Wewe ni nani? kwa nini Mhusika mkuu yupo kimya? kwa nini tukuamini wewe? namna pekee ya kutuaminisha ni mhusika kujitokeza na kusema ukweli! LA sivyo hauna tofauti na Manyerere na hilo gazeti!