Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

Sky kaleta muonekano wa mtoto wake ila kuna watu wanaleta mzaha na kuongea vitu visivyofaa jamani sio vizuri, kama Mama inaumiza sana pale unapotaka msaada wa kimawazo halafu watu wanaleta masihara na kauli za hovyo.

Sky Kaa nae na umuelezee madhara ya hivyo vitu ujana una mambo mengi sana , ikibidi tumia hata ukali.

Nimeona hapo ulimpeleka boarding toka ana miaka 10, ili ni funzo kwetu pia jamani tujitahidi kukaa na watoto zetu tusikimbie majukumu yetu.
 
Back
Top Bottom