The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,616
Mzuqa!
Yule Kachero mbobezi na Mwanadiplomasia mzoefu na aliyetukuka. Tanzania presidential material and hopeful 2020 kupitia CCM Bernard Camilius Mwana wa Membe anahitajika haraka sana kuingilia na kusuluhisha vuguvugu linaloendelea huko mashariki ya kati baada ya Trump kufanya yake na kumuua General Qassim Solemani.
Ni Membe pekee yake kupitia uwezo wake wa juu uliokamilika na kujitosheleza vilivyo katika diplomasia na intelligence anaweza kutuliza hili vuguvugu la vita kwa kuwaleta pamoja pande zote mbili Marekani na Iran katika meza ya mazungumzo kuepusha vita.
Watanzania tutumie hii fursa haraka iwezekanavyo kabla ajachaguliwa kuwa rais hapo baadaye mwaka huu kupitia CCM. Kwasababu akiwa rais atatumia muda mwingi sana kututumikia.
Ni muda huu yupo free ndio fursa ya kipekee ya nchi yetu kutumia huyu Kachero na Mwanadiplomasia wa aina yake kuleta maelewano duniani na kuitangaza nchi yetu kimataifa kabla ajachaguliwa kuwa rais hapo baadaye mwaka huu kwa tiketi ya CCM.