Huu ndio wakati Muafaka dunia inamuhitaji Membe kusuluhisha Marekani na Iran

Naomba niwakumbushe waliosahau au vijana wadogo wasiojua, kuwa
John Samwel Malecela alikuwa mmoja ya watu wenye heshima sana Jumuia ya Madola, na hakuwahi kulewa sifa kama huyo boya wenu Mende.
Kama si Nyerere John Sigweyemisi angekuwa Presidaa.
Ni mmoja kati ya watu mahiri kutokea Tanzania. Binafsi namkubali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sjaelewa kwanini umeni quote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jasusi wetu anaiweza hiyo kazi...na hata huko ccm kwenye kikao cha maadili wajipange maana huyu ni mwanadiplomasia mzuri sana
Kwahiyo kikao cha maadili hakina vichwa vya kutosha?, kuna mtanzani alileta tani 50 za sare na hakupata kitu. Mwana diplomasia ajitathmin
 
Tuanze kumtumia Hapa hapa ndani kwa mara Nyingine.Kupima uwezo wake kama upo sawa kama hapo awali.

Mie naona kuna something is wrong in Mind of this Dude Nowdays.
 
Halafu nimeona UN si watu wazuri kabisa yaani mtu anatamkiwa atashambuliwa time yoyote ile ila hao jamaa wako kimya kwanini halafu unakuta wameshaua Suleiman tayari halafu sioni hata matamko yoyote yale yakitolewa nimeamini kumbe UN ni group la watu fulani tu.
 
Mkuu bado sijapata link kati ya matatizo ya US and Iran na Mh. Membe, embu expand hiyo hypothesis yako
 
Back
Top Bottom