Huu ndio wakati Muafaka dunia inamuhitaji Membe kusuluhisha Marekani na Iran

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa!

Yule Kachero mbobezi na Mwanadiplomasia mzoefu na aliyetukuka. Tanzania presidential material and hopeful 2020 kupitia CCM Bernard Camilius Mwana wa Membe anahitajika haraka sana kuingilia na kusuluhisha vuguvugu linaloendelea huko mashariki ya kati baada ya Trump kufanya yake na kumuua General Qassim Solemani.

Ni Membe pekee yake kupitia uwezo wake wa juu uliokamilika na kujitosheleza vilivyo katika diplomasia na intelligence anaweza kutuliza hili vuguvugu la vita kwa kuwaleta pamoja pande zote mbili Marekani na Iran katika meza ya mazungumzo kuepusha vita.

Watanzania tutumie hii fursa haraka iwezekanavyo kabla ajachaguliwa kuwa rais hapo baadaye mwaka huu kupitia CCM. Kwasababu akiwa rais atatumia muda mwingi sana kututumikia.

Ni muda huu yupo free ndio fursa ya kipekee ya nchi yetu kutumia huyu Kachero na Mwanadiplomasia wa aina yake kuleta maelewano duniani na kuitangaza nchi yetu kimataifa kabla ajachaguliwa kuwa rais hapo baadaye mwaka huu kwa tiketi ya CCM.
 
Mnaleta comedy.
 
Wa TZ huwa tunajisahaulisha, tunajidanganya, tunaongozwa na mihemuko kuliko uhalisia au ukweli.

Kwa miaka karibia 60 sasa toka nchi hii ipate uhuru imekuwa chini ya CCM, na imeendelea kujidhihirisha kama ule wimbo wao kuwa CCM ni ileile.

Wametunga na wanaendelea kuleta sheria nyingi za kufanya wao waendelee kuwa madarakani.

Kwa hiyo tuache kujidanganya kuwa Membe au yeyote akishavaa shati la kijani atajali maslahi ya wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzuqa!

Yule Kachero mbobezi na Mwanadiplomasia mzoefu na aliyetukuka. Tanzania presidential material and hopeful 2020 kupitia CCM Bernard Camilius Mwana wa Membe anahitajika haraka sana kuingilia na kusuluhisha vuguvugu linaloendelea huko mashariki ya kati baada ya Trump kufanya yake na kumuua General Qassim Solemani.

Ni Membe pekee yake kupitia uwezo wake wa juu uliokamilika na kujitosheleza vilivyo katika diplomasia na intelligence anaweza kutuliza hili vuguvugu la vita kwa kuwaleta pamoja pande zote mbili Marekani na Iran katika meza ya mazungumzo kuepusha vita.

Watanzania tutumie hii fursa haraka iwezekanavyo kabla ajachaguliwa kuwa rais hapo baadaye mwaka huu kupitia CCM. Kwasababu akiwa rais atatumia muda mwingi sana kututumikia.

Ni muda huu yupo free ndio fursa ya kipekee ya nchi yetu kutumia huyu Kachero na Mwanadiplomasia wa aina yake kuleta maelewano duniani na kuitangaza nchi yetu kimataifa kabla ajachaguliwa kuwa rais hapo baadaye mwaka huu kwa tiketi ya CCM.
Ishiii tupilia mbali kachero uchwara kabisa...!

[/QUOTE

Zuzu wewe
 
Jasusi mbobezi
IMG_20191124_124322.jpeg
 
Back
Top Bottom