Huu Ndio Uzalendo Huu...!.

JF ina viumbe perfect kabisa. Ila dunia ndio imejaa wanafiki,vilaza,wajinga,wazembe
 
Kumbe JF inapatikana nje ya dunia mkuu...?

Ila unafki utabaki kuwa unafki tu hata ukiigiza vipi kama ni mnafki basi unafki utaonekana tu hata ufichwe vipi mkuu.

Ahsante.
 
Ndio kwenye mawingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…