Nikiangalia hizi picha na haya mambo yanayoendelea sasa hivi nikiyaunganisha kuna picha flani naipata ni sahihi kabisa.
Ni Hatari Sana.
Funguka mkuu
Hahahah.
Wee angalia kauli za jamaa tu na hiyo picha ya kuzoa matakataka then connect dots utapata tu maono mkuu.
Thanks.
Yaliyopo na yajayo yanatisha tuombe Mungu tu aingilie kati.
Safi sana Mh - usafi na usalama katika miji vipe umuhimu sana
wewe huoni zille 1.5 trillion alivozipotezea angeonyesha uzalendo hapo sasa
Tunzeni hizo picha, haitakaa itokee tena