Huu ndio ushahidi wa mama swai akimrudishia mandela viatu alivyoviacha tanzania

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
[h=3][/h]

Late #Madiba Receiving his boots in 1995 which he left them in Tanzania 1962 from Mama Swai. On 11 January 1962, Nelson Mandela secretly left South Africa to travel around the continent and drum up support for the African National Congress. He visited 14 countries, including Tanzania - where he left behind a pair of his boots. Below Vicky Swai recounts the story of how she kept the boots for 33 years​
 
Kwa kweli huyu mama anastahili zawadi....wangekua wengine wangempa mchunga ng'ombe hizo buti... mi nakumbuka niliwahi kumuazima sweta rafiki yangu alikuja home akachelewa kuondoka na kulikua na baridi sasa kulirudisha akawa ananipiga kalenda, siku nimeenda kwao nikakuta wamelifanya dekio na ndio wameweka mlangoni eti la kupangusia miguu....niliumia sana japo it's more than 15 years ago nikikumbuka huwa nasikitika sana
 
Hivi niulize utajiri wa Mandela ukoje? Maana sijasikia ukisemwa inaonyesha jamaa alikua hana tamaa huyu kama viongozi wengine waliojilimbikizia mali wao na ukoo wao baada ya uhuru.
 
Mama huyu inabidi apewe tuzo kwa tendo hili Mungu ambariki zaidi
 
Hivi niulize utajiri wa Mandela ukoje? Maana sijasikia ukisemwa inaonyesha jamaa alikua hana tamaa huyu kama viongozi wengine waliojilimbikizia mali wao na ukoo wao baada ya uhuru.
Hana tofauti na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere.. Ni mfano bora wa kuigwa..
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…