Huu ndio ushahidi wa mama swai akimrudishia mandela viatu alivyoviacha tanzania


N

ngonani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Messages
1,371
Likes
204
Points
160
N

ngonani

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2012
1,371 204 160
Mwenye kujua ilikuwaje akaviacha hapo atupe story,kwani kulikuwa na uhusiano gani na familia hiyo au huyo mama/ina maana alilala hapo kwao?na huyu mama alikuwa na miaka mingapi?
 
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Messages
2,415
Likes
28
Points
135
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2012
2,415 28 135
Mwenyezi Mungu na ambariki sana huyu mama kwa moyo wake wa upendo...ni wachache sana au hakuna kabisa wenye moyo kama wake...
 
A

annabrenda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Messages
1,143
Likes
62
Points
145
A

annabrenda

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2013
1,143 62 145
I like the spirit of that mama. It seems she has a BIG HEART.
 
MichazPipoz

MichazPipoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
539
Likes
7
Points
35
MichazPipoz

MichazPipoz

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
539 7 35
RIP Father of Continent ila nauliza 2 mazingira ya kusahau buti kwa Mama Swai.
 
H

Honest boy

Member
Joined
Apr 4, 2013
Messages
89
Likes
2
Points
0
H

Honest boy

Member
Joined Apr 4, 2013
89 2 0
Washakubagua hadi uwaite ivo...we ndo unajibagua badili ufikiri wako
 
Acha Uvivu

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
527
Likes
3
Points
35
Acha Uvivu

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
527 3 35
Good mumy, ila atakuwa siyo Mmachame a.k.a mama Ngowi et al.
 
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
3,653
Likes
94
Points
145
Gwangambo

Gwangambo

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
3,653 94 145
STTAKI KUAMINI KAMA HAKULIWA:tape:
 
Kuku wa Kabanga

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Messages
812
Likes
267
Points
80
Kuku wa Kabanga

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2009
812 267 80
[h=3][/h]

Late #Madiba Receiving his boots in 1995 which he left them in Tanzania 1962 from Mama Swai. On 11 January 1962, Nelson Mandela secretly left South Africa to travel around the continent and drum up support for the African National Congress. He visited 14 countries, including Tanzania - where he left behind a pair of his boots. Below Vicky Swai recounts the story of how she kept the boots for 33 years​
mandela alitimiza miaka 44 mwaka 62,ukitazama hii picha utaona wazi kuwa Mandela anaonekana mzee.
 
S

salasala

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
219
Likes
8
Points
35
S

salasala

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
219 8 35
Kwa kweli huyu mama anastahili zawadi....wangekua wengine wangempa mchunga ng'ombe hizo buti... mi nakumbuka niliwahi kumuazima sweta rafiki yangu alikuja home akachelewa kuondoka na kulikua na baridi sasa kulirudisha akawa ananipiga kalenda, siku nimeenda kwao nikakuta wamelifanya dekio na ndio wameweka mlangoni eti la kupangusia miguu....niliumia sana japo it's more than 15 years ago nikikumbuka huwa nasikitika sana
Hii story yako imeniacha hoi, Pole sana.
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,833
Likes
162
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,833 162 160
Wazushi wanadai mama alikua amemtunza vizuri sana mandela enzi zile, hadi akasahau viatu
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,952
Likes
3,068
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,952 3,068 280
kwani kulikuwa na uhusiano gani na familia ina maana alilala hapo kwao?na huyu mama alikuwa na miaka mingapi?
alilala kwenye familia yao. Mume wake alikua tanu leader,na msee swai mwenyewe alikwepo
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,952
Likes
3,068
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,952 3,068 280
sttaki kuamini kama hakuliwa:tape:
ndo akili zako zinavyokutuma. Hata hujui kuwa mzee swai alikwepo na alikua kiongozi wa tanu? Kwani kila mgeni akija kwenu lazima ale mwanamke yeyote hapo kwenu,hata house girl?
 

Forum statistics

Threads 1,273,440
Members 490,382
Posts 30,481,612