Huu ndio ushahidi wa mama swai akimrudishia mandela viatu alivyoviacha tanzania

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
[h=3][/h]
USHAHIDI.png

Late #Madiba Receiving his boots in 1995 which he left them in Tanzania 1962 from Mama Swai. On 11 January 1962, Nelson Mandela secretly left South Africa to travel around the continent and drum up support for the African National Congress. He visited 14 countries, including Tanzania - where he left behind a pair of his boots. Below Vicky Swai recounts the story of how she kept the boots for 33 years​
 
Kwa kweli huyu mama anastahili zawadi....wangekua wengine wangempa mchunga ng'ombe hizo buti... mi nakumbuka niliwahi kumuazima sweta rafiki yangu alikuja home akachelewa kuondoka na kulikua na baridi sasa kulirudisha akawa ananipiga kalenda, siku nimeenda kwao nikakuta wamelifanya dekio na ndio wameweka mlangoni eti la kupangusia miguu....niliumia sana japo it's more than 15 years ago nikikumbuka huwa nasikitika sana
 
Hivi niulize utajiri wa Mandela ukoje? Maana sijasikia ukisemwa inaonyesha jamaa alikua hana tamaa huyu kama viongozi wengine waliojilimbikizia mali wao na ukoo wao baada ya uhuru.
 
Hivi niulize utajiri wa Mandela ukoje? Maana sijasikia ukisemwa inaonyesha jamaa alikua hana tamaa huyu kama viongozi wengine waliojilimbikizia mali wao na ukoo wao baada ya uhuru.
Hana tofauti na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere.. Ni mfano bora wa kuigwa..
 
Kwa kweli huyu mama anastahili zawadi....wangekua wengine wangempa mchunga ng'ombe hizo buti... mi nakumbuka niliwahi kumuazima sweta rafiki yangu alikuja home akachelewa kuondoka na kulikua na baridi sasa kulirudisha akawa ananipiga kalenda, siku nimeenda kwao nikakuta wamelifanya dekio na ndio wameweka mlangoni eti la kupangusia miguu....niliumia sana japo it's more than 15 years ago nikikumbuka huwa nasikitika sana[o/QUOTE]

We jamaa una kijiba cha roho.Miaka 15 hujasahau? Na hilo dekio si limebaki nyuzi?
 
Issue sio limebaki kias gani lile sweta ishu ni jinsi nilivyomixiwa kukuta sweta nililomuazima limefanywa dekio tena ndani ya siku chache tu baada ya kumuazima...afterall nilishasahau ila tu utunzaji na uthamini wa huyu mama kwa viatu vya mandela ndio imenikumbusha hilo...nadhani utunzaji na uthamini wa kitu cha mtu ni tabia ya mtu
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom