Penguin-1
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 406
- 64
sor jamaa yupo sahihi kabisa zoom uwacopy pest kazi,kuna kazi ya TPDC IT systems analyst check job disc yake afu cheki na hii IT Specialist (15 Posts) Job in Arusha, Tanzania zinafanana kabisa.
unless hizo kazi hazipo kabisa ,ila nafikiri wenye kazi ndio wanpost via zoom ama?(ukiacha zile ambazo zoom wanapost wenyewe from sources kama magazeti n.k)