Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,979
Ila kweli maisha mafupi haya kwann tujiteseeeee...Raisi yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani , fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara ...... Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena
Raisi yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani , fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara ...... Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena
Ningependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosemaRaisi yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani , fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara ...... Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena
Nikupe namba ya vero hapoNatamani ningekuwa mmojawapo kati ya wanaotafuna hizo pisi za mama hapo pembeni.
Hivi hayo majamaa kwenye hiyo picha ya chini yaliyosimama na mabunduki makubwa, yanatokea nchi gani? Maana hatuna sare za aina hiyo kama sikosei!!
Nipe mkuu sina cha kupoteza.Nikupe namba ya vero hapo
Mradi wa mandege ya air Tanzania. Huko pesa za walipakodi zinapotea bure. Mabilioni ya shilingi yanatekea kutokana na hasara inayopatikana huko.. Mandege yamepaki tu. Hata yanayoruka ni hasara tupu. Biashara ya ndege huwa ni pasua kichwa!Ningependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosema,,