SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,419
- 10,359
Maua una malalamiko mengi sana aiseeMtu kaajiriwa au ni mfanya biashara ila hujui anapeleka wapi pesa zote.
Hanunui hata maji tu apeleke nyumbani hapana.
Ila anaulizia chakula nakupiga watoto.
Pole best mpeleke kwa wazee pia upunguze kamdomo asubuhi yote hii.Huu ndio ukweli asilimia 100% wamama ndio watunzaji wawatoto kwenye familia.
Wababa wao kazi zao kubwa nikuwapiga watoto na mama na kukimbilia kwa michepuko kuwahudumia .
Halafu wanaume wengi kutoa zamani wanapenda kutunzwa sana tu mwanamke anaamka asubuhi anaenda kutafuta chochote kitu ili atunze watoto na mume wake .
Zamani baadhi ya wanaume walikuwa wanatunza familia zao ila kwa sasa no more wanaume hawapo katika position zao kama mwanaume.
Mtu kaajiriwa au ni mfanya biashara ila hujui anapeleka wapi pesa zote.
Hanunui hata maji tu apeleke nyumbani hapana.
Ila anaulizia chakula nakupiga watoto.
Anakuja juu akiombwa ada za watoto, pesa ya matumizi ,uniforms na kila kitu kinachohusu mama yake mzazi mke wake na watoto inasikitisha.
Mtu tajiri anapelekwa ustawi wa jamii ili alee familia yake.
Kwa michepukoSoma tena ulichoandika. Wababa wanajitoa sana kwenye familia ndio maana wanakufa na depression.
Nani amesema nimimi jomba niliye naye hayupo hivyo amesalia mimi huu uzi nimejionea nyumba nyingiShida ni kuwa unampanda kichwani..
Alaf ubaya ni kuwa, mwanamke ikifikia hatua ukawa tunaruhusu mwanaume ashambulie watoto, unakuwa huna autonomy katika familia. Kwanza watoto wanakuwa wanafanya ujinga baba pasipo kuwepo kwasababu wanajua mama hana nguvu ya kutupiga.
Inshort, jitafakari ni kwanini mmefikia hapo, maana haija happen kwa miujiza.
Kama hauwezi kukaa na mumeo kafanya mipango, je upo kwenye ndoa kweli?
Ungekuwa specific na maandishi yako... Watu wamechukulia ni weweNani amesema nimimi jomba niliye naye hayupo hivyo amesalia mimi huu uzi nimejionea nyumba nyingi
Waache tu waseme mie ila umeshafungua uzi wataelewa tuUngekuwa specific na maandishi yako... Watu wamechukulia ni wewe
Alaf mwisho wa siku ukweli haujifichiWaache tu waseme mie ila umeshafungua uzi wataelewa tu
Kama wewe ndio unafanya sio woteeUmeamua kufurahisha genge tu wewe!, kwa asilimia kubwa wanaume tumekuwa tukitekeleza majukumu yetu kwenye familia pasipo kupiga kelele.
Nyie mkipata kazi mkafanya kitu hata kidogo tu basi bango!, na ndio nyie mnawafanya baadhi ya sisi wanaume tukimbie majukumu aidha kwa matendo yenu ama hiyo midomo.
Kiufupi hii dunia pasipo sisi wanaume isingekuwa na maendeleo haya mnayoyaona.
Michepuko inafanya ndoa zinadumu na kufika miaka 50, kawaulize vizuri wazee wako watakujibuKwa michepuko
UongoooMichepuko inafanya ndoa zinadumu na kufika miaka 50, kawaulize vizuri wazee wako watakujibu