Huu ndio ukweli wa mambo

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,205
4,405
MKULIMA hulipenda na kulithamini sana shamba lake kipindi cha kutafuta mbegu na kupanda. juhudi kubwa za MKULIMA huongezeka pale anapoona shamba lake limeota mazao mengi.

furaha zaidi humjia MKULIMA pindi anapogundua kuwa mazao yamekubali katika shamba lake. MKULIMA mzembe hudharau sana shamba lake baada ya mavuno,ila MAJUTO ya mkulima huja wakati wa ukame.

Hakuna MKULIMA ambae shamba halitakumbwa na ukame ama kiangazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom