Huu ndio Ukweli, Asante Rais Rais Magufuli!

Huu ndio Ukweli, Asante Rais Rais Magufuli!

Kimbelembele front weka cha kwako hapa tukione



Atawekaje chake wakati hajatuhumiwa kutumia cheti cha mwingine...!!?? Tunamtaka mtuhumiwa wa cheti cha mwingine athibitishe pasi na shaka kwamba tuhuma zinazoelekezwa kwake ni uzushi usio na maana...!! WACHA MANENO WEKA VYETI...!!






Tafakari...!!
 
Maharagwe yakiwa yanapikwa kwenye sufuria huwa yanarukaruka tu, yakiiva yanaacha.
Mnakoelekea pabaya sana. Najua siyo akili zako hiz ni za kutaka cheo
-Mefuta ajira
-Mewanyima watoto wengi wa masikini mikopo
-No increment
-hakuna kupandishwa madaraja
-hakuna uhamisho
-bei ya vyakula ipo juu
-Helsb 15%
_Kuwatetea na kuwalinda wahalifu wa cheti. Ingekuwa ni uongo Gwajima anadanganya sasa hiv angekuwa rumande. Huyo mwanaccm anatumia vyeti vya mtu. Kama Gwajima anamsingizia mkuu wa mkoa kwann asimuweke ndani? Alisema anauwezo wa kumfukuza mtu yyte mbona gwajima kamuacha? Mkumbukd hiyo double standard itawagharimu Makonda anatumia vyeti vya mtu.
* Nilimdharau sanaaaaaa aliposimamisha ajira nikajua hili ni lifurushi la takataka JK kalutupa
 
Mnakoelekea pabaya sana. Najua siyo akili zako hiz ni za kutaka cheo




Haaaaa haaaaa haaaa...nimecheka kwa nguvu kwa sababu umeandika moja ya vitu viwili nilivyokuwa naviona kwa huyu binti...!! Pamoja na hicho ulichokiona wewe, nimekiona kingine hiki:

ANAJUA KUTUMIA VIZURI NAFASI YAKE YA UBINTI/UANAMKE KWENYE MIJADALA, YAANI MIPASHO, SHE IS GOOD KWENYE MIPASHO...!!







Tafakari...!!
 
Namkubali na kumuunga mkono sana mh raisi wetu. Lkn kwa suala la Makonda na vyeti kama ni kweli alinunua cha mtu na anamtetea napinga kwa nguvu zote kama ifuatavyo
1. Kuna wtz inasemekana wamekufa kwa pressure sbb ya vyeti.
2. Kuna wtz wamepoteza kazi sbb ya vyeti.
3. kuna wtz wamesimamishiwa mishahara sbb ya utata wa vyeti.
4. Kuna wtz wametumia resources zao (pesa) kwenda Dar necta kutatua changamoto za vyeti.
5. kuna wtz wameshindwa kuajiriwa ssb ya utumishi na vyeti hewa.
6. Wtz hawajapata legal increment kwenye mishahara yao na kutopanda madaraja sbb inasemwa uhakiki.
7. kuna wtz wameitwa vilaza sbb ya vyeti vyao kuwa na performance isiyoridhisha ilihari necta imesema wamefaulu.
8. kuna wtz wanafukuzwa vyuoni kwsbb tunaambiwa hawana sifa.
9. kuna wtz wamekwama kwenda elimu ya juu sbb GPA zao hazifiki 3.0.
10. Serikali imetumia mamilioni ya fedha sabb ya kuhakiki watumishi na vyeti vyao.

Nb. pamoja nayo mh. alisema watu waajiliwe kwa elimu yao, wewe kama ni la saba uwe kuli na hakuna atakaye kusumbua. Pia sijaelewa nguvu kubwa inayotumika kumtetea rc, badala ya nguvu hiyo kusema wazi anasingiziwa au kweli alicheza mchezo mchafu.

Mwisho zoezi la uhakiki litakuwa halina maana yoyote kama hatutakuwa na similar treatment kwa wote. Haiingii akilini mwaka mzima mkulu na serikali imesimamia uhakiki wa watumishi na vyeti pia elimu kwa ujumla halafu leo zoezi liharibike kirahisi tu. Tutakuwa tumepata hasara kubwa sana ya resources na time factor.

Mh mkulu kama rc yuko vizuri kivyeti ithibitishwe mjadala ufungwe, na hata rc atakuwa huru kutekeleza majukumu yake vyema.

Ushauri kwa rc, tafadhali mpunguzie raisi wetu mzigo huu wa kukutetea kwa kuprove wrong wanaokuamdama kwa kuweka hadharani vyeti.

Nakukubali Makonda ktk utendaji na raisi anakukubali hata ukiwa la saba bado mkulu ndiye mteuaji, utabaki rc tena Dar hapa hapa.
 
Vya nini, ili iweje na itakusaidia nini? fanya kazi acha kurukaruka.
Kama ana vyeti alienda kulia lia nini makanisani? hizo ni dalili za kushikwa pabaya... [HASHTAG]#VYETI[/HASHTAG] .. [HASHTAG]#VYETI[/HASHTAG] tu... hatuwezi kuongozwa na kilaza...
 
Mzee kasema wenye wivu wajinyonge. Gwajima na majungu yake aendelee tu na taarabu
 
Kwa hotuba hii ya Rais Mhe. John Pombe Magufuli juu ya watu wazuri kupingwa na kupigiwa kelele akitoa mfano wa RC Makonda na Prof. Muhongo mimi namuunga mkono 100%



Ila kwa wengine anaunga mkono. Alivyosikiliza yale majungu pale daraja la kigambon ilikua sawa, iila kwa wengine sio sawa!!! Karma ipo na inafanya kazi bana, ni swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom