Huu ndio Ukweli, Asante Rais Rais Magufuli!

Huu ndio Ukweli, Asante Rais Rais Magufuli!

Kwan majungu yanakujaje?! Mtu huna vyeti na ukaamua kuiba mwenyewe...majungu unajiletea mwenyewe...kwanini asionyeshe hivyo vyeti majungu yakwishe
 
Kwani yeye ni Mkuu wa Mkoa anayetuhumiwa kufoji vyeti vyake!? Acheni kudumaza akili zenu kiasi hiki! Kuna tuhuma anatumia vyeti ambavyo si vyake kuondoa tuhuma dawa yake ni kuweka vyeti hadharani na siyo longo longo. Kule Singida wafanyakazi 22 wamefukuzwa kazi kwa kufoji vyeti. Yeye huyu ni nani mpaka naye asifukuzwe kazi kwa kosa la jinai!?

Anza kuonyesha vya kwako hapa!
 
Back
Top Bottom