Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,351
- 38,941
Ili tuone ni cha Paul makonda au Daudi bashiteAtoe cheti ili iweje?
Ili tuone ni cha Paul makonda au Daudi bashiteAtoe cheti ili iweje?
Kweli Maharo Watu wanafikiri maneno ya kwenye mitandao na video clips za kila anayejisikia kusema zinaongoza nchi
Kumbe hujui eh...basi endelea kubaki porini...
Nikituhuhumiwa kufoji naweka hapa dunia nzima ione.
Ni kweli lakini kwanini Mh Makonda asionyeshe vyeti vyake?
kafungue kesi mahakamani, mahakama ikimtaka alete vyeti atavipeleka. wewe ni nani umuombe vyeti, ameomba kazi kwako????Vyeti tunataka
Huoni ukakasi unaoendelea kumpata mkuu wa mkoa wa DSM? Mtu kama unavyo vyeti halali siunaonyesha ili kumaliza mzizi wa fitna. Mungu anasema kweli itamweka mtu kuwa huru kweli kweli. Kazi ndugu nafanya sana tu tena ya haki isiyo na mawaa wala dhuluma.Vya nini, ili iweje na itakusaidia nini? fanya kazi acha kurukaruka.
Sijatuhumiwa ndio maana siwezi kuonesha.bashite katuhumiwa na umma atuonesheIli iweje, nani aliyekutuhumu?
Kamtafute baba yako. Achana na MakondaVyeti tunataka
Huoni ukakasi unaoendelea kumpata mkuu wa mkoa wa DSM? Mtu kama unavyo vyeti halali siunaonyesha ili kumaliza mzizi wa fitna. Mungu anasema kweli itamweka mtu kuwa huru kweli kweli. Kazi ndugu nafanya sana tu tena ya haki isiyo na mawaa wala dhuluma.
Nchi haiwezi kuongozwa na matapeli wa elimu kama bashite
Sijatuhumiwa ndio maana siwezi kuonesha.bashite katuhumiwa na umma atuoneshe
Sasa anayechimba shimo na kutumbukia ni nani kati yangu na wewe? Kwani kuna skendo inayonitaka mimi kuweka vyeti au jamii yenye wasiwasi na vyeti vyangu?Mnachimba mashimo matokeo yake mnadumbukia wenyewe! weka vya kwako hapa tuvione ili hiyo kweli yako ikuweke huru.
sio kuwa aende kwake, mpaka sasa wanatuhumu ishu za vyeti hawana evidence! period