double standard zipi?????Ila inaweza kuendeshwa kwa double standards
double standard zipi?????Ila inaweza kuendeshwa kwa double standards
Acha maneno mwambieni atoe chetiKweli Maharo Watu wanafikiri maneno ya kwenye mitandao na video clips za kila anayejisikia kusema zinaongoza nchi
Hana cheti labda cha ubatizo akaombwe nini?Nenda ofisini kwake ukamwombe atakupatia wala hakuna shida!
Bashite ana evidence?sio kuwa aende kwake, mpaka sasa wanatuhumu ishu za vyeti hawana evidence! period
Hana cheti labda cha ubatizo akaombwe nini?
Acha maneno mwambieni atoe cheti
Let the sleeping dogs liedouble standard zipi?????
Kumbe hujui eh...basi endelea kubaki porini...Atoe cheti ili iweje?
Kama Peter alivyo wambia Yesu Kristo wakati anawasafisha miguu wanafunzi wake!mkono upi huo? wa kushoto au kulia...
hahhahhahhahha...nacheka kwa dharauuuuuuuLet the sleeping dogs lie
Hahahaha kwa kweliAnza kuonyesha vya kwako hapa!
Nikituhuhumiwa kufoji naweka hapa dunia nzima ione.Kimbelembele front weka cha kwako hapa tukione