Soma comment hadi mwisho babuu.Ulitaka ajae wapi?
Kwanini anakaa kwenye nyumba ya mkuu wa mkoa wakati ana nyumba binafsi hapo Arusha?‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
Duh 🙄 !‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️

Kama hujui jambo uliza...Mambo ya wabongo!!
Makonda alilalamikiwa kwa kuishi hotelini na si Mongella kutokumpisha PM kwa wakati.
Leo halalamikiwi Kihongosi kufikia hotelini bali Makonda kutokumpisha Kihongosi!
#kataawahuni‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
Yaani Viongozi wa Tanzania huangalia matumbo yao tu,wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa dawa halafu mtu amezuia nyumba na anajiita mkazi wa ArushaSoma comment hadi mwisho babuu.
Makonda amesha achia ukuu wa Mkoa aachie nyumba ya serikali. Yeye si ana sema ni mkazi wa Arusha na ana utaka ubunge wa jimbo la la Arusha?? Aende kwake..
Acheni uchawa!! Mkiitwa wahuni mna pinga. Makonda ana ishi nyumba ya serikali kama nani kwa sasa?? Simple and logic question ⁉️ I
Sina hakika kama Mh Rais hayati Magufuli angeruhusu uhuni huu kufanyika!! Walahi asingeruhusu hii kitu!‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
Porojo tu hizi.Kama hujui jambo uliza...
Makonda ali kaa sana hotel Grand Melia. Hadi watu walipo piga kelele aka hama. Sasa yuko nyumba ya serikali hataki kuhama Mteule wa Rais ana kaa hotelini kisa alie tenguliwa hataki kutoka kwenye nyumba ya umma. Kama ana urafiki na Kihongosi wakae wote sio kutumia rasilimali za nchi kwa interest za watu.
Na nyie chawa haya hamyakemei.. Ndio sababu mna itwa wahuni
‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
Fanya yako mzee hayo ndiyo maisha yake yeye kama unaweza kalale na wewe acha kimbelembele kwani yeye ndiyo wa kwanza‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi!
Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa!
Tuache masihara!
Ofisi alikabidhiwa tarehe 30 June, leo ni tarehe 24 Julai
Siku 24 ukichukulia malazi tu ni laki 5 tunaangalia jumla ya gharama ya shilingi milioni 12 - nani analipa hii? Serikali?
Makonda atoke arudi zake nyumbani au ahamie hotelini ajilipie - tuache ufisadi wa kijinga
Nchi inaenda tu ka haina mwenyewe - inatafunwa kihuni na wahuni 🚮 ndo maana MABADILIKO NI LAZIMA
#NoReformsNoElection
Wapumbavu sana cdm siku zote heri kupigania mgombea BINAFSI siyo mgombea kupitia vyama vya mafisi,shit!!Wa tz sisi , sasa mnaacha kupambania no Election mpo mnafatilia wanako lala .. jamani ???
Chawa wajinga sana,unatetea vitu kama hivi utafikiri anayenufaika ni baba yako!Ulitaka ajae wapi?