Alex Mponela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 254
- 109
Mimi na familia yangu hatutatizama wala kusikiliza Clouds FM wala TV yao! Hakuna cha PJ wala Bonge tena!!! Jamii imetufumbua macho kumbe ni wanyama hivi!!!!!!!
Hivi kumbe Skylight band ni mali ya Clouds FM?Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa,sanaa iwe kazi
susia skylight pale Thai village
susia matamasha yao na fiesta
susia tv yao ya wafanyakazi majungu
susia radio yao ya maboss wafitini
kaa mbali na majangili wa bongofleva
Mimi na familia yangu hatutatizama wala kusikiliza Clouds FM wala TV yao! Hakuna cha PJ wala Bonge tena!!! Jamii imetufumbua macho kumbe ni wanyama hivi!!!!!!!
Harakati zinaendelea kama kawaida mpaka tunahakikisha clouds fm tunaizika. Ingia facebook tafuta page inaitwa mazishi YA clouds FM, huku ndiko harakat zinaendelea na kuwavua nguo clouds fm na maovu yao.
Duh mnapoteza muda kweli jamaa ndo wanapaa