Huu ndio mwisho wa CLOUDS FM

Huu ndio mwisho wa CLOUDS FM

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Harakati zinaendelea kama kawaida mpaka tunahakikisha clouds fm tunaizika. Ingia facebook tafuta page inaitwa mazishi YA clouds FM, huku ndiko harakat zinaendelea na kuwavua nguo clouds fm na maovu yao.
 
naunga mkono hoja....ngoja niende huko facebook....wafu fm lazima tuwazike...
 
Harakati zinaendelea kama kawaida mpaka tunahakikisha clouds fm tunaizika. Ingia facebook tafuta page inaitwa mazishi YA clouds FM, huku ndiko harakat zinaendelea na kuwavua nguo clouds fm na maovu yao.
Kuiuwa Clouds Facebook how? wakimleta msanii kutoka Marekani mnajazana kama makuku mtaiuwa vipi clouds?

BOYCOTT Clouds Media na matamasha yao that is only solution.
 
Jamani, kwani radio ziko ngapi hapa TZ?

Kwa nini usiridhike na mziki wako kupigwa na vituo vingine vya radio, mpaka iwe Clouds?

Acheni chuki, ile ni radio binafsi na ikiona muziki wako hauna standards za kupigwa kwenye radio yao kaa kimya, mbona kuna nyimbo kibao tu zinakaushiwa lakini inabidi kuziachia kwa sababu watu wanaziomba sana?

Mara ngapi Jay Dee nyimbo zake zimepigwa kwenye Jahazi kipindi yupo mumewe? Kipindi cha masaa 2.5 nyimbo zaidi ya nne za mtu mmoja? Mbona hakumwambia mumewe kupunguza ili wasanii wengine wapate nafasi?

Leo amechuniwa analalama, walikupandisha, watakushusha!

Clouds ni taasisi, Jay Dee ni mtu mdogo sana kuishusha, kashajua Clouds wamemchunia, Tuzo hatapata, analalamika!
 
Naunga mkono hoja maana wale wanaitumia redio yao kuunga mkono Redio uhuru,TBC kuudhoofisha harakati za ukombozi wa taifa hili,wanaeneza propaganda za kudumaza fikra mbadala za kuleta mabadiliko,kila siku wao ni ku-ignore harakati za watu wote wanaoikosoa serikali pale inapokosea,wako Clouds kazi yao ni kusifia ujinga tu.hapo nawaunga mkono wote wanaoipinga redio hii,lakini njia nyingine nafuu kabisa ni kutoku-tune clouds na kuendelea kushawishi watu kutune redio na TV,wala kwenu nyinyi vijana hata wakileta wanamziki kutoka marekani au sehemu nyingine msiende.inatakiwa Total boycot ya Clouds media
 
Isije kuwa yale maneno ya Maalim Self
CHUKI KWAO MBOLEA
 
Jamani, kwani radio ziko ngapi hapa TZ?

Kwa nini usiridhike na mziki wako kupigwa na vituo vingine vya radio, mpaka iwe Clouds?

Acheni chuki, ile ni radio binafsi na ikiona muziki wako hauna standards za kupigwa kwenye radio yao kaa kimya, mbona kuna nyimbo kibao tu zinakaushiwa lakini inabidi kuziachia kwa sababu watu wanaziomba sana?

Mara ngapi Jay Dee nyimbo zake zimepigwa kwenye Jahazi kipindi yupo mumewe? Kipindi cha masaa 2.5 nyimbo zaidi ya nne za mtu mmoja? Mbona hakumwambia mumewe kupunguza ili wasanii wengine wapate nafasi?

Leo amechuniwa analalama, walikupandisha, watakushusha!

Clouds ni taasisi, Jay Dee ni mtu mdogo sana kuishusha, kashajua Clouds wamemchunia, Tuzo hatapata, analalamika!

unajua hawa wanafanya free advertisment kwa hii redio,si zipo magic,radio one east radio nk
 
Hamna chamaana ulichozungimzia wameshalalamika wengi xana hata km ni taasisi binafsi mmeujumu wengi ila jaydee hamtomuweza kwa sasa yuko mbali xana kimaisha hata hizo tunzo sidhani km zitamsaidia anasupport kubwa kutoka kwa wananchi
 
Sanaa isiwe ngazi ya kutengeneza masikini wenye majina makubwa,sanaa iwe kazi

susia skylight pale Thai village
susia matamasha yao na fiesta
susia tv yao ya wafanyakazi majungu
susia radio yao ya maboss wafitini

kaa mbali na majangili wa bongofleva
 
wapuuuisana! kuna huyu mshamba kibonde anatbia ya kuponda harakati za watanzania wanaopigania haki za wanyonge ! ajifunze huu siyo muda wa kutafuta ukada wa ssm aache ujinga!
 
Kifo chaos WAFUFM hata wajikombe vipi chupi wamenyea na harufu kila kona pafyumu haisaidii kutongoza wananchi kwa harufu
 
Harakati zinaendelea kama kawaida mpaka tunahakikisha clouds fm tunaizika. Ingia facebook tafuta page inaitwa mazishi YA clouds FM, huku ndiko harakat zinaendelea na kuwavua nguo clouds fm na maovu yao.

nimeisechi nione mmeandika nini mbona haipo, mmefungiwa au?
 
Mimi siyo mpenzi wa hi radio ila inatia aibu sana. Utafikiri ni radio ya uswazi maana hakika iko kiumbea sana na kushabikia mambo ambayo hayana mashiko. Anyway, naamini watakuwa katika pay roll mahali fulani au hawajiamini hivyo wanataka kusimama dede kwa kutumia upande fulani wa siasa. Poleni sana msiojiamini.
 
Lisemwalo lipooooo, something is very very wrong, haiwezekani wakawa wao tu.... kweli SANAA ISIWE NGAZI YA KUTENGENEZA MASKINI WENYE MAJINA MAKUBWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom