Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Mleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!
 
shida ya jipu uchungu likiwa usoni, kila mtu ataliona, kulitumbua huliminyi vya kutosha kulimaliza usaa shida yake litajirudia tena na tena.
 
Wanaendesha matukio ya "hisani" ili kuhalalisha kazi zao
 
Mleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!
Kuna mahala mtoa mada ametaja jina la JK??
 
shida ya jipu uchungu likiwa usoni, kila mtu ataliona, kulitumbua huliminyi vya kutosha kulimaliza usaa shida yake litajirudia tena na tena.
tatizo vilazer hii nchi wengi sana,hili suala la simba trust halina tofauti na suala la magari ya washawasha,
mtatumia mda wa kutosha kujadili kitu ambacho hakipo na kuna wabunge vilazer watalibeba zimazima hadi bungeni na kwenda kuabikia huko,so wabunge villazer kuweni macho mtaingia mkenge kama yule mama aliepeleka bungeni akidai wamenunua washawasha 770 alipoambiwa kuthibitisha akabaki kaachama domo wazi
 
Kuna mambo mengine ni machungu kama pakanga au sifongo, au nyongo tena ya mamba, hivi Mh JPM akiwa DUTETE KWA MIEZI MIWILI TU, itakuwaje? Kuna watu wanatakiwa wapigwe risasi iwe lawama lakini wafe, haiingii akilini hata kidogo wachache wale keki ya taifa wengine washindie shubiri!!!!!!!!!!!****""':;#@@$%&????. MZEE Mh JPM fumba macho acha wakulaumu Bali utakuwa una sehemu mkono wa kuume wa MUNGU BABA.
 
Haaaah wewe acha wewe tulia usiwe na jaziba .....

Huu mchezo si Hasara......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…