Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

he he he he we jamaa bana
 
Uwiiiiiii aiseeee kuna watu wameishika hii nchi kubaya [emoji86]
 
nah balata
 
Ambaye hajakuelewa hata siku ya kiama ikifika hataelewa, na hata Yesu akirudi wala hataelewa!
Outwardly hawa watu wanajitahidi kujionyesha kwamba ni watu wazuri lakini kiukweli huenda ni watu wabaya sana na ni muda utatupa ukweli huu! Zamani niliamini eti wezi ni watu 'wanaokunja' sura kumbe 'charming faces' ni wabaya zaidi aisee!
 
sikubaliani na hii kwa asilimia 1, yaani 1% sikubali!
 
mkuu ni jisiemu au?
 
Wote Wameoza Na Kupungukiwa Utukufu Wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…