Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Hiki kikombe mnikulu hata kubali kukinywaKwa maslahi ya Taifa......
Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..
Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujiridhisha na kufuatilia ni nani hasa mmiliki wa Simba Trust.
Wamiliki wa Simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.
1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa Simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.
2: TSN + GSM :
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.
3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kasi ndani ya utawala wa awamu ya 4
4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja
5: TULAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Tulawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .
6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .
7: Ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.
8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.
9 : Ndio walishinda zabuni ya ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .
10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halmashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda.
Wanausishwa pia na hisa kwenye kiwanda cha Dangote cha cement kilichojengwa mtwara.
Pia ni wawekezaji kwenye shirika letu la nyuma NHC kama mnakumbuka shirika la Nyumba la taifa limekuwa likikopa pesa kwa ajiri ya kujenga Nyumba hasa miradi ya Dodoma kuna mkono wa hawa jamaa.
Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust. Wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .
Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .
Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifuatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...
Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.
Nashauri Rais Magufuli angeanza na hawa , hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.
Mungu ibaliki Tanzania...
JAKAYA KIKWETE, SALMA KIKWETE, Na watoto wao ndio wamiliki wa SIMBA TRUST,
Kwenye Orodha ya wakwapuaji wa Pesa za Escrow Mama Salma anaonekana kuchota pesa.
TSN Supermarket Mama Salma ameonekana.
Jengo la ROCKY CITY MALL -Mama Salma alimwambia Mkuu wa Mkoa Magesa Mlongo kuwa ahakikishe anamtengea Vizimba vyake humo Jengoni-Na ni kweli TSN Ilipewa Vizimba kadhaa
Halotel- Familia ya JK. ina Hisa humo ndani.
Haya IPTL/PAP =JK. Family...
Yaan Urais wa JK. Kwa miaka Kumi ulikuwa ni wa kupiga deal na mke wake pamoja na familia yake na watu wake wa karibu.
Wanyongwe, hawa ni wahuni.Ok tumeshawajua. Mapendekezo
Mungu anawaonaNa ndiye anapinga watoto wa kike waliopata mimba wasirudi shuleni. Na ndiye ameteuliwa bungeni. Mali zote hizi ni kama wataishi milele na milele. Maisha y binaadamu ni mafupi sana, kujirunfikia mali Wakati wengine wanaadhirika huku unajiita wewe mcha Mungu ni vibay sana. MUNGU halali atatiwa adhabu hapa hapa duniani
Sema unavyovifahamu wa bush tuelimike mkuu.We muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
Wapi alisema hayo?Sasa ndy niamini ile kauli ya JOKA LA MAKENGEZA...ALISEMA.. yupo wa KUNIKAMATA lakini hayupo wa KUNIFUNGA...
Wekeza na urithi kwa ndugu zako wasijepata shida jamaa wakikutunghaKwa maslahi ya Taifa......
Maswali ni mengi lakini sitakuwa na haja ya Kuwataja hatharani ..
Nipende kuwapa mwanga tu mpate japo kujiridhisha na kufuatilia ni nani hasa mmiliki wa Simba Trust.
Wamiliki wa Simba trust sio kwamba ni wamiliki tu wa hiyo no wako na mtandao mkubwa wa either kumiliki au kuwa na hisa katika makampuni yafuatayo.
1: Precision Air:
Hao hao wamiliki wa Simba trust na genge lao wanaonekana kuwa na hisa ndani ya kampuni hii ya ndege.
2: TSN + GSM :
Ndio pia wamiliki wa makampuni yote ikiwemo TSN super market Kwa kununua hisa na kumiliki share ndani ya makampuni hayo.
3: Azania Bank:
Wamewekeza hisa nyingi pia kwenye hii bank ya Azania amabayo ilikua kwa kasi ndani ya utawala wa awamu ya 4
4: GAPCO+ LAKE OIL
Ni wawekezaji pia kwenye suala la mafuta kwa kuwa na hisa au umiliki wa moja kwa moja
5: TULAWAKA GOLD MINE:
Wawekezaji ndani ya mgodi wa Tulawaka walifanikisha kuwafukuza wananchi katika mgodi uo na kujenga uzio .
6: Mgodi wa Tanzanite Arusha :
Pia wamewekeza kwenye mgodi huu baada ya mikataba ya Makaburu kuisha .
7: Ndio wamiliki wa UDA pia ambayo pia ni Kampuni yenye utata wa umiliki wake kwenye hisa zake.
8 : Baadhi ya makampuni ya clearing na forwarding hapo bandarini.
9 : Ndio walishinda zabuni ya ujenzi wa soko la kisasa kule Mwanza (Rock city shopping Mail) kupitia uchochoro wa wachina na kukwapua mamilioni .
10: Ndio wamiliki wa makampuni ya kufanya usafi kwenye halmashauri nyingi nchini karibu kwa asilimia 75% hawa ndio upewa tenda.
Wanausishwa pia na hisa kwenye kiwanda cha Dangote cha cement kilichojengwa mtwara.
Pia ni wawekezaji kwenye shirika letu la nyuma NHC kama mnakumbuka shirika la Nyumba la taifa limekuwa likikopa pesa kwa ajiri ya kujenga Nyumba hasa miradi ya Dodoma kuna mkono wa hawa jamaa.
Pamoja na kwamba umiliki unabadilika badilika kiasi lakini mtandao ndio ule ule unaomiliki Simba Trust. Wanacho kifanya ni kuwatumia watu kufanikisha mambo yao hasa watu wenye asili ya Asia .
Hata ukiangalia kwenye list ya pesa za escrow account zilizogawiwa pale Stanibic bank list ya watu hao ilikuwepo .
Nimetoa kwa ufupi kuepuka kutaja majina kwa sababu za kisheria lakini mkifuatilia kwa makini mtagundua ni wakina Nani wapo nyuma ya hii michezo yote inayoendelea...
Hao ndio wanachukua milioni yetu 400 kila siku pale Tanesco.
Nashauri Rais Magufuli angeanza na hawa , hawa ndio mafisadi ambao wanatakiwa kwenda kwenye mahakama ya mafisadi.
Mungu ibaliki Tanzania...
Toa ukweliWe muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
FisadiLowassa na Fisadi Sumaye ni makada wa chama gani ??Wote hao ni makada wa CCM
Kwa maslahi ya Taifa......