Huu ndio msosi wa bachela

Huyo kaboom role model wake ni Asprin.
Hata aoe 10 kuchepuka haachi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaniharibia ujue? Ushasikia wanawake duniani ni wengi kuliko wanaume?? Na hujashangaa hakuna mwanamke ambaye hana bebi wake? Jiulize na ujijibu kuhusu umuhimu wa uwepo wangu duniani
 

Atakuambia una fitina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
RRONDO usiseme tumemsajili na huyu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…