Huu ndio msosi wa bachela

Kuna kaka yangu anapenda sana kupika, ila sasaaaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Akipika jiko lote linachafuka na vyombo karibia vyote, halafu haoshi vyombo hata kwa bahati mbaya.
Kazi ngumu kwa mabachela ni kuosha vyombo.
Mimi huwa naosha nikitaka kupika tu
 
Hapo kwenye mahari nimekuelewa sana, si ndio maana nakupenda sasa[emoji8][emoji8]
Hapana wewe subiri uone.
Hata kesho nikitaka ananioa.
Namleta nyumbani mapema sana alipe mahari. Hata akigoma mahari tayari imelipwa tunafungua business
 
Nyie matajiri.
Friji mnaliwasha wiki nzima bila kuzima?
Sisi ambao tunawasha nyanya zipigwe kaubaridi tuu kisha tunazima tunacomment wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo uko vizuri, mie hata friji sina[emoji134][emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo ndio penyewe mkuu
 
Huruma inaponza, nitasutwa sikukuandaa vyema hivyo kuanzia sasa ni mwendo wa kiinjinia tu.
"Linapokuja suala la kuniandaa kuwa mke mwema hautaki masihara kabisa" in injinia's voice.
 
Hiyo mboga unaipa maksi ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]sifuri kabisa tatizo wanaume wa siku hizi hawataki kuoa ili wale vitu vizuri huo mchuzi si ni maji tu hayo nahisi hata hivyo vitunguu na nyanya vinaogelea tu humo na ukiumimina kwenye huo wali sasa ndiyo kabisa balaa tupu naomba tu niishie hapa nisiendelee[emoji23][emoji23]
 
Adha tunazopata mabachela wakati wa kupika, usipime..

mafuta kidogo tu yanakurukia, ugali(hatua ya uji) ukiwa unatokota unaruka unuunguza [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa mwendo huo lazima ujihami na ndio chanzo cha kuchafua jiko
Hahahaha ndio uoe sasa.
Kwanini unateseka.
Na unakorogaje uji mzito hadi unaruka ruka? Ndio maana ugali unakuwa mbichi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…