Huu ndio msosi wa bachela

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule atatutafutia kesi tu.
Hahahahahhahahahahahahhahaha.
Haki nikiboreka naenda kwenye ule uzi kusoma kidogo najikuta nagundua vitu nachekaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli huu ni ubwabwa.

Inaonekana u msafi, hujachafua jiko kama @mwifwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

una macho makali sana, huwa nafuta jiko nikimaliza kupika.

Siku ile nilipiga picha wakati niko kwenye hatua za kupika.
 
Mwifwa umetisha huu ugali sio bure lazima utakuwa ume import mzigo leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…