Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 65,266
- 112,037
Eneo Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote Mtu akisema hakuna muafaka wa kitaifa wa vyama vya kisiasa mwambie sio kweli kwenye posho bungeni na marupurupu muafaka upo