Huu Ndio Msimamo wa CHADEMA, uchaguzi wa Ubunge "Jimbo la Nassari"

Sasa ni wakati muafaka kwa Nassari kutangaza waziwazi kuunga mkono juhudi ili apewe jimbo
 
Sijawapangia ila walishatuambia na tunajua kuwa hawashiriki chaguzi ndogo.kama wangekuwa wanabadilisha maamuzi Yao hapo ingekuwa sawa.
Na Kwa sababu ya kiburi chenu mwaka 2020 cha Moto mtakiona
Kwani wamekutangazia wewe, wamekumbushwa wanachama wa Chadema hasa wa jimbo la Arumeru Mashariki ambao wewe si mmoja wapo.
 
Hiyo ndio njia pekee kwenu kwani chama kimezeeka hakiwezi tena ushindani zaidi ya hujuma kwa kutumia madaraka ya urais.

Nani mwenye nguvu ya ushindani - njoo Arumeru kesho kutwa uone moto wa CCM!
CDM mmeisha - kuisha kabisa
MK 2019
 
Nani mwenye nguvu ya ushindani - njoo Arumeru kesho kutwa uone moto wa CCM!
CDM mmeisha - kuisha kabisa
MK 2019

Ccm hawawezi siasa wala hawawizi ushindani zaidi ya hujuma, wanachofanya ni kutumia madaraka ya urais kutishia vyombo vya kimamlaka kutangazwa washindi.
 
Ccm hawawezi siasa wala hawawizi ushindani zaidi ya hujuma, wanachofanya ni kutumia madaraka ya urais kutishia vyombo vya kimamlaka kutangazwa washindi.

2015 Dkt Slaa na Lipumba walikimbizwa na nini iwapo si matumizi ya madaraka dhidi yao?
 
Hata wakishiriki ni kupoteza muda kwani katiba inampa mamlakani rais ya kuagiza vyombo vya kimamlaka kutii atakacho.
Uchaguzi serikali za mtaa una umuhimu sana kwa uhai wa chama kujipima kuelekea uchaguzi Mkuu.
 
Rais anahusikaje na Nassari kutohudhuria bungeni?!!

Nazungumzia mwenendo wa uchaguzi kwenye box la kura kutokuheshimiwa kwa backup ya mamlaka ya rais. Hata huyo rais anahusika kwa kile kitita cha vote20 ndiko hela za kuwanunua wapinzani zinakotoka.
 
Nazungumzia mwenendo wa uchaguzi kwenye box la kura kutokuheshimiwa kwa backup ya mamlaka ya rais. Hata huyo rais anahusika kwa kile kitita cha vote20 ndiko hela za kuwanunua wapinzani zinakotoka.
Nassari kanunuliwa?!
 
Ni Mungu gani mnamuabudu, Mungu anayewabarikia na bunduki na risasi kwajili ya kujeruhi watu, Mungu yupi huyo mnayemuabudu anayewapa nguvu ya kuwaua na kuwagandamiza wale ambao wako upande pili. Acheni unafiki, dhambi mnayoisababisha itawarudia. Shwaini nyieee

Sent using Jamii Forums mobile app

Matusi yatakusababishia mimba - nimekuambia kwamba Wangwe anakusikia
 
Back
Top Bottom