Huu Ndio Msimamo wa CHADEMA, uchaguzi wa Ubunge "Jimbo la Nassari"

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Wakati tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ikitangazauchaguzi mdogo wa ubunge Arumeru Mashariki kufanyika Mei 19, Chadema kimesisitiza msimamo wake wa kutoshiriki mpaka Mwaka 2020

Chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimetoa kauli hiyo jana muda mfupi baada ya mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage kutangaza tarehe ya uchaguzi huo.
 
Wakati tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ikitangazauchaguzi mdogo wa ubunge Arumeru Mashariki kufanyika Mei 19, Chadema kimesisitiza msimamo wake wa kutoshiriki mpaka Mwaka 2020

Chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimetoa kauli hiyo jana muda mfupi baada ya mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles kaijage kutangaza tarehe ya uchaguzi huo.
Hawakuwa na sababu yotote ya kutoa tamko kwani walishatoa awali inatosha
 
Chadema wanatoa sababu zisizo na tija, mnasusia uchaguzi mdogo hatahivyo mtashiriki Uchaguzi Mkuu mwaka 2020, je ifikapo Uchaguzi wa 2020 utakidhi matakwa na vigezo ambavyo chama chenu mnaona ni HURU na wa HAKI??? Ningewaona makamanda ni majaziri iwapo mngetangaza rasmi kususia chaguzi zote hapa nchini hadi TUME YA UCHAGUZI, itakapobadili muundo wa uendeshaji wa uchaguzi
 
Kabla ya 2020 CCM itapata pigo kuuuuubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wanatoa sababu zisizo na tija, mnasusia uchaguzi mdogo hatahivyo mtashiriki Uchaguzi Mkuu mwaka 2020, je ifikapo Uchaguzi wa 2020 utakidhi matakwa na vigezo ambavyo chama chenu mnaona ni HURU na wa HAKI??? Ningewaona makamanda ni majaziri iwapo mngetangaza rasmi kususia chaguzi zote hapa nchini hadi TUME YA UCHAGUZI, itakapobadili muundo wa uendeshaji wa uchaguzi
Subiri moto unakuja 2020 , mmezoea wizi kudadeki zenu !
 
Chadema wanatoa sababu zisizo na tija, mnasusia uchaguzi mdogo hatahivyo mtashiriki Uchaguzi Mkuu mwaka 2020, je ifikapo Uchaguzi wa 2020 utakidhi matakwa na vigezo ambavyo chama chenu mnaona ni HURU na wa HAKI??? Ningewaona makamanda ni majaziri iwapo mngetangaza rasmi kususia chaguzi zote hapa nchini hadi TUME YA UCHAGUZI, itakapobadili muundo wa uendeshaji wa uchaguzi
Wanajipanga kuona njia gani nzuri ya kabiliana na hizo changamoto 2020.
 
Wakati tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ikitangazauchaguzi mdogo wa ubunge Arumeru Mashariki kufanyika Mei 19, Chadema kimesisitiza msimamo wake wa kutoshiriki mpaka Mwaka 2020

Chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimetoa kauli hiyo jana muda mfupi baada ya mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles kaijage kutangaza tarehe ya uchaguzi huo.
ACT wazalendo ndio habari ya mjini!
 
Shida ya Chadema ni kuamini vijana njaa kirahisi mnoo... such a costly expenditure unampa mtu asiejua tofaut ya kazi na familia. ...yet the very externally motivated idiots?
Hii kitu kwa nje inaonekana ni ndogo lakini imetoa picha kubwa jinsi binadamu wanaoitwa Watanzania walivyo kifikra. Unajua mbunge mmoja anakuwa amechaguliwa na watu wengi ambao nao wako most likely kufanana naye kimawazo.
Sio ajabu Vodacom walileta Mkenya kuwa CEO na walivyowekewa mizengwe wameleta (nasikia) Egyptian. Shida hapa huenda wanashindwa kuwaamini watz maana wanajua wanakukabidhi kampuni pamoja na siri nyeti sasa rivals wao wakija wakatoa labda $200,000 usishangae akatoroka na siri za kampuni na kuwaharibia biashara!
Kwa hiyo idadi kubwa kuanzia wenyeviti wa vijiji, madiwani, wabunge na mameya kuamua 'kuonyesha nia' na sababu walizotoa za kujiudhuru zinaonyesha 'wepesi' wa watz, kwa mwenye uchungu na mustakabali wa nchi hii kwa hakika hawezi kufurahia kinachoendelea!
Labda ndio maana tunaendelea kuwa masikini wakati tuna kila kitu, ogopa mtu anayesema asichomaanisha!
 
Back
Top Bottom