Huu ndio mpambano bora kabisa utakaosisimua 2020

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,728
JPM VS ZZK(kama Wapinzani wakinyenyekeana na kuungana)

Unadhani, mbambano upi utasisimua zaidi 2020...


???? vs ????
 
Lissu anafaa zaidi!
lisu amejiendeleza upande mmoja(sheria), wakati mwenzake ni multipurpose(politics,economics,etc). Wote ni best candidates lkn

ushindani mkali na wa kusisimua, unasaidia taifa kusonga mbele na awareness kwa raia inaongezeka.
Unafaida kwetu zaidi ya hasara bila kujali nani anashinda
 
Mnaweka wagombea hata wakiwa na chopa 200 halafu JPM asipige kampeni, akae tu ikulu, anawapigia tu simu wakurugenzi tangazeni fulani, fulani - mwishowe anashinda kwa 99.99%
 
Msiwe na mihemko mbona mnawaza uchaguzi badala ya MASLAHI ya Taifa kwanza.
Uchaguzi pia ni maslahi ya taifa.
Hatutembei kama nyumbu tunaangalia chini, lazima upredict future na nani wanaweza kusimama kuonyesha wanaweza kuisimamia kwa niaba ya watu mil45+.

Masalahi ya taifa yanaangaliwa jana,leo na kesho. JPM akipata changamoto nzito itamfanya afanye vizuri zaidi, na pia wananchi wanaweza kuona aliyofanya yanatosha apewe mwingine aendeleze.

ni ujinga kuleta mawazo ya kuangalia chini badala ya mbele. 2020 tutakuwa tunahoji kilichoahidiwa kama kimetekelezwa huku tukisikiliza offer nyingine kutoka upande wa pili kama zina mashiko
 
Back
Top Bottom