Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,479
- 40,120
Tumekuwa tunakaririshwa na watoa hoja wengi hapa jukwaani kuhusu uungwana na uvumilivu uliopitiliza wa rais wetu Jakaya. Demokrasia ni moja ya kipimo kinachotajwa na ingawa hakuna usuli unaotushawishi sisi Matomaso.
Katika tafakuri zangu nimejaribu kuangazia hili wimbi la uhalifu linaloikumba nchi kwa wakati huu. imefikia mahala wahalifu wanaweza kuteka hata kituo cha polisi, wakaua wakajeruhi bila hata kukamatwa.... raia wanapoteza rasilimali zao na maisha kwa matukio ya ujambazi nchini... Madawa ya kulevya na uhalifu mwingine usiotamkika...
Inawezekana Rais wetu ana uvumilivu unaowapa jeuri wahalifu kunufaika nao...
unaweza ukabisha ila bisha kwa hoja kwani kila kitu kipo wazi sasa