Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
Huu nao ni URAIBU mbaya sana

Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...
IMG-20250903-WA0004.jpg


Kama unajipenda anza zoezi la kuacha..

SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA

1. Shambulio la moyo
2 uraibu
3.kichwa kuuma mara kwa mara.
4.Kisukari type 2
5. Uharibifu wa figo.
6.kipandauso (Migraine)
7. Saratani (Feeds cancer cells)

Haya kazi kwako .

Najua ni tamu Sana lakini mwisho wake mauti.

Asili huponya
 
Mie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418
Mkuu nazo zina madhara ila nitakupa faiada zake na hasara zake pia nitakupa mbinu na matumizi ya kuzila kiafya.

Faida za Chocolate (hasa dark chocolate yenye kakao nyingi):

Antioxidants nyingi – husaidia kupunguza uharibifu wa seli na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.

Kuboresha mzunguko wa damu – flavonoids ndani yake hupunguza shinikizo la damu.

Kuongeza nguvu za ubongo – huongeza mtiririko wa damu kwenye ubongo, kusaidia kumbukumbu na umakini.

Kuboresha mood – huchochea kutolewa kwa serotonin na endorphins zinazopunguza msongo wa mawazo.


Madhara ya Chocolate (hasa milk chocolate au yenye sukari nyingi):

Sukari nyingi 👉 inaweza kusababisha kisukari, unene, kuoza meno.

Mafuta yaliyojaa (saturated fats) 👉 huongeza cholesterol na hatari ya magonjwa ya moyo.

Caffeine 👉 husababisha kukosa usingizi, msongo au mapigo ya moyo kwenda mbio ukila kwa wingi.

Kuzidisha uzito 👉 kwa sababu ya kalori nyingi.

Kuvuruga ngozi 👉 wengine hupata chunusi (acne) kutokana na sukari na mafuta.


🔑 Ushauri:

Dark chocolate yenye 70%+ kakao ni bora zaidi kiafya.

Tumia kiasi kidogo (gramu 20–30 kwa siku) badala ya kula nyingi.

Epuka zile zenye sukari na maziwa mengi.

Kwa Leo acha niishie apa
 
Wewe unaonekana bado ni msichana.

Ndo wale unataka awe na ndevu, gari, iPhone na awe ananukia Perfume muda wote😃
Weeee...me bonge la mama
Nakuzaa huku navuta sigara 😅😅😅
By the way, ndevu muhimu, perfume kunukia pia muhimu
Hayo macho iPhone hata sio mzuka wangu. Na gari muhimu pia ingawa sio lazima 😉 hata akiwa na Honda tu inatosha
 
Unatambua hata
Huu nao ni URAIBU mbaya sana

Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...View attachment 3463400

Kama unajipenda anza zoezi la kuacha..

SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA

1. Shambulio la moyo
2 uraibu
3.kichwa kuuma mara kwa mara.
4.Kisukari type 2
5. Uharibifu wa figo.
6.kipandauso (Migraine)
7. Saratani (Feeds cancer cells)

Haya kazi kwako .

Najua ni tamu Sana lakini mwisho wake mauti.

Asili huponya
hewa unayovuta Ina simu pia Cha msingi baada ya kutumia hiyo shushia na glasi ya Gongo nambari one
 
Mie soda naweza kukaa hata mwaka mzima sijanywa. Uraibu wangu me huu hapa. Sasa sijui nao unasababisha kisukari na shambulio la moyo. View attachment 3463418
Hapana haiwezi kusababisha kisukari wala shambulio la moyo.

Hisia unazopata ukila chocolate ni sawa na hisia anazopata mtu akifanya mapenzi.

Chocolate huzalisha hormones au vichocheo vya furaha(happy hormones).

Muhimu kufanya regular check up kupima blood glucose na blood pressure ili kufahamu afya yako.

Kwa wanaume ukila chocolate inatakiwa iliwe kutokea kwenye matiti au nipples, yaani unaingiza sukari/glucose katika mwili halafu unaifanyia kazi kitandani angalau mechi ya zaidi ya nusu saa.

Ukila chocolate mara kwa mara halafu unalala au kuangalia Tv tu bila kujishughulisha na mazoezi si vizuri kwa afya.
 
Hii kitu acha kabisa, ina uraibu mbaya sana halafu inamaliza pesa maana ni expensive. Hiyo pakti moja haitoshi kabisa
Haswaaaa. Hakuna kitu ninaficha nikinunua kama chocolate. Sitaki mtu azione nakula mwenyewe tu. Zinatia hasara. Imagine bar kama hii 25K..si nishapata chajio hata cha siku 3 hapo
20250813_063057.jpg
 
Unatambua hata

hewa unayovuta Ina simu pia Cha msingi baada ya kutumia hiyo shushia na glasi ya Gongo nambari one
Iyo hewa ina sumu ila Kuna vichuja vyake ndio mana hailet asal kubwa,maviwandan uko sawa alafu kamnyweso kamefata nin😋😋 kwenye huu Uzi mkuu
 
Back
Top Bottom