Huu Mwezi Mpaka Unaisha Kila Week Ina Sikukuu

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Huu mwezi mpaka unaisha kila wiki ina sikukuu

...so in april siku za class ni nne tuh kila wiki mwezi mzima

wiki hii....ijumaa.7 karume day
Next wiki...ijumaa 14 Good friday
Next of next week...17..Easter Monday
nex of nex of nex week...26jumatano...Union day

.....BE BLessd april
siku nne tu za class kila wiki mwezi mzima.......

sijui kwanini nimewaza hivi....nahisi spendi shule
 
hahahaahah, ndio mfanye assignment mtakazokuwa mmepewa!
Mie nakumbuka kipindi nasoma soma kachuo Fulani ka upishi, tulikuwa na mhadhiri mshenzi mshenzi, anatuambia chagueni mnataka tufanye test tarehe 27/12 au 2/1 hahahahaahh na hali anajua siku zote hizo watu wanakuwa wana mauchovu ya sikukuu. Ama kweli shule mwananyoro kweli!!!!
 
Back
Top Bottom