Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,964
- 36,433
Labda mwenzenu amejitengenezea jeneza nyie hamjui.Huo mwamba kiasili naona hauwezi kushuka.
Na ikiwa utashuka je unaweza kuzuiliwa na huo mti?
Hebu punguza kamdomo, uje Shinyanga huku kwenye vibanda chini ya miamba tule maembe, msimu umeanza 😋😎.Hii ndio maana ya ''Wewe tena?''
Mada ipo jukwaa la Chit chats halafu nifikiri kwa upana?
Image ni AI content,
Ni mpumbavu pekee ndio ataamini kua huo mti unaweza kuzuwia hilo jiwe kama litavutwa na Earth gravitation force,
Hata huo mti ungekua ni chuma hauwezi kuzuwia hapo coz huo mti wenyewe kwanza haupo 90 Degree na hata ungekua 90 deg hauwezi kuzuwia.
Pokea simu kwanza kuna issue muhimu nataka kukwambia.Hebu punguza kamdomo, uje Shinyanga huku kwenye vibanda chini ya miamba tule maembe, msimu umeanza 😋😎.
View attachment 3689731
Ngoja nimalizie kulitumikia penzi na cha asubuhiPokea simu kwanza kuna issue muhimu nataka kukwambia.
Wewe naye 😂😂😂Huo mwamba kiasili naona hauwezi kushuka.
Na ikiwa utashuka je unaweza kuzuiliwa na huo mti?
Olemima? 🤣🤣🤣Hebu punguza kamdomo, uje Shinyanga huku kwenye vibanda chini ya miamba tule maembe, msimu umeanza 😋😎.
View attachment 3689731
Nalemima kaka wane, maembe dodo 😂 😂Olemima? 🤣🤣🤣
Komima ni kunyonya 😋😋😋
Huu ndio ukweli, hauwezi kushuka.Huo mwamba kiasili naona hauwezi kushuka.
Mimaga ilombo waneNalemima kaka wane, maembe dodo 😂 😂
Yes ni kama AI: Ila kuna hoja ya msingi nyuma.Hii mbona kama AI ?
Subiri na wewe aje kukwambia ''Wewe tena''Wewe naye 😂😂😂
Hii mbona kama AI ?
Ni kweli hauwezi kushika..lakini muhusika naona amewaza unaweza kushika na akaamua kuweka kizuizi.Je alifikiria uzito wa huo mwamba vs kizuizi ambacho ni mti?Huu ndio ukweli, hauwezi kushuka.
Kwa kuwa umejenga hoja kupitia picha, nami najibu kwa kuweka picha.
Chukulia iceberg - kinacho onekana huwa ni sehemu ndogo tu, cha dubwana kubwa huko ndani ya maji:
View attachment 3689739
=
View attachment 3689740
Unafikiri ndio nitaona wivu?Ngoja nimalize kulitumikia penzi na cha asubuhi, nitakucall back 😂
Hujawahi kuishi uswahilini? 🤣Subiri na wewe aje kukwambia ''Wewe tena''
Sijawahi ila siku hizi hata mitandaoni ni uswahilini.Hujawahi kuishi uswahilini? 🤣
Wewe tena..Wewe naye 😂😂😂
Hii mbona kama AI ?
Bora tumekua wawili,nilikua peke yangu.Wewe tena..
umeshindwa hata kuelewa ujumbe.
Umeona picha tu?
🤣🤣
Hongera mkuuSijawahi ila siku hizi hata mitandaoni ni uswahilini.
Mbona kawaida tu🤣Bora tumekua wawili,nilikua peke yangu.