Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,367
Mungu ndiye anayejua. Siku hizi hata JF kuna michawi isiyotaka tuishiJamii forum kwa waliopo Mungu ametupenda na aendelee kutupenda mwisho wa mwaka ndio huo unakatika na sasa inabidi tuulizane kipi umefanya hadi ukikumbuka unafurahia .
TUAMBIZANE
Mungu mwema uvumilivu huu kweli ni upendo...hongera sana.Kupata mtoto wa kwanza miaka 13 kwenye ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu dahMungu ndiye anayejua. Siku hizi hata JF kuna michawi isiyotaka tuishi
HhaHah nimeipenda kauli Yako🤣Uchumba Sugu hatimaye ndoa