Huu mwaka 2023 ni kama umekwisha, umefanya nini cha maana?

Kiukweli kitu pekee cha maana nilichokifanya ni kurudiana na mwanaume wa maisha yangu.

Baada ya kugundua nilipotea nilijirudi, nikaomba msamaha na hivi sasa maisha yamekuwa na maana kila kitu kinaenda sawia kwa mapenzi & amani anayonipa. Sijui nilifeli wapi haki!

Ila nimejifunza, sitorudia tena. Mwaka 2023 umekuwa bora sana kwangu, Mungu ni mwema.
Una hakika ulimkosea kweli? Hebu tafakari tena, pengine yeye ndio alikukosea.
 
Kiukweli kitu pekee cha maana nilichokifanya ni kurudiana na mwanaume wa maisha yangu.

Baada ya kugundua nilipotea nilijirudi, nikaomba msamaha na hivi sasa maisha yamekuwa na maana kila kitu kinaenda sawia kwa mapenzi & amani anayonipa. Sijui nilifeli wapi haki!

Ila nimejifunza, sitorudia tena. Mwaka 2023 umekuwa bora sana kwangu, Mungu ni mwema.
Akichepuka uje utusimulie Uamzi wako 😁😁
 
Nilikua na lengo la kununua shamba kubwaaa..na kweli nimenunua mwanzoni mwa mwaka huu..sasa sijaenda muda japo nilizungushia vigingi shamba zima nikapotea kurudi nakuta mtu kalima shamba lotee kumfatilia anasema yy ndo alinunua mwanzo na documents kweli anazo..so muuzaji katuuzia wawili..kesi iko mahakama ya ardhi sasa...so malengo yangu yameingiliwa...
Pole 🤣🤣🤣
 
Kiukweli kitu pekee cha maana nilichokifanya ni kurudiana na mwanaume wa maisha yangu.

Baada ya kugundua nilipotea nilijirudi, nikaomba msamaha na hivi sasa maisha yamekuwa na maana kila kitu kinaenda sawia kwa mapenzi & amani anayonipa. Sijui nilifeli wapi haki!

Ila nimejifunza, sitorudia tena. Mwaka 2023 umekuwa bora sana kwangu, Mungu ni mwema.
Ngoja nitafute malighafi za kujengea mnara wa kumbukumbu wa Nifah member wa JF baada ya kuona alipokosea na kurejea kwenye kiota chake. Big up Nifah.
 
Back
Top Bottom