Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 27,237
- 50,743
Nilikua na lengo la kununua shamba kubwaaa..na kweli nimenunua mwanzoni mwa mwaka huu..sasa sijaenda muda japo nilizungushia vigingi shamba zima nikapotea kurudi nakuta mtu kalima shamba lotee kumfatilia anasema yy ndo alinunua mwanzo na documents kweli anazo..so muuzaji katuuzia wawili..kesi iko mahakama ya ardhi sasa...so malengo yangu yameingiliwa...Na nini tena