Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,481
- 9,793
Tafurahi sanakunasiri apo katikati hujaijua kuhusu iyo hali na uhalisia wako ngoja sku utakutana na mwenye kujua maana zaidi na atakujuza kupitia elimu ya mimea uhusiano wake na anye utunza.
Kaka tunajadili MTI kakaHapo ndio kwenu?
Tupo wengi usitishike na mtandaoDuh! Jf kila mtu wa kishua kasoro Mimi tu
Marufuku kukata Tamaa!Kipindi huu MTI unapandwa tuliweka nguvu sana kuhakikisha una kua salama, tulimwaga maji mengi sana kadiri ya uwezo na ilikua ni kawaida yetu. Sikua na muda nao sana nikiendelea na ratiba zangu za kila siku.
Siku Moja nikiwa naingia ndani, nilipata mshituko, Kuna jambo nililishuhudia, la haula, huu MTI ULIKUA unabadilika rangi, nilijiuliza sana, sikupata jibu nikahisi labda huenda ni hali ya kawaida, kweli nikapiga chini, sababu wanao fahamu hii miti ya madafu hua ina kauka na kudondosha tawi.
Lakini kadri siku zilivo enda hali ikawa ngumu, japo tunamwagilia lakini ina kauka tu kila uchwao baadae ndio tukatambua kweli mti huu unaenda kupoteza uhai, maana hata ile ambayo tuliipanda kwenye makopo tayari ilikua dry yote hakuna uliosalimika na maji imekunywa ya kutosha hivo ilikua swala la muda na huu kufuatia.
Kipindi hicho ungenambia niukate niutupe Wala nisinge kataa nilikua disappointed sana, maisha yakaendelea.
Sasa siku za mbeleni tukiwa tumekataa tamaa, lakini tukimwagia maji Bora liende ndo kuona ukaanza chipua tena, mpaka kufika hii hali unayoona kwenye PICHA japo haipendezi sababu ni ukungu wa mvua.
FUNZO nililo pata, tusikatie vitu tamaa tupambane Hadi pale unapo ona no life again lakini at time unapumua mapambano yaendelee, huenda Kuna watu au vitu tulivitoa kwenye maisha yetu ingali tunge vumilia Leo hii tunge kua tuna vuna matunda.
Kabisa kakaMarufuku kukata Tamaa!
Dogo mangi naona unaturingishia ghorofa la shemeji yako mume wa dada yako.Kipindi huu MTI unapandwa tuliweka nguvu sana kuhakikisha una kua salama, tulimwaga maji mengi sana kadiri ya uwezo na ilikua ni kawaida yetu. Sikua na muda nao sana nikiendelea na ratiba zangu za kila siku.
Siku Moja nikiwa naingia ndani, nilipata mshituko, Kuna jambo nililishuhudia, la haula, huu MTI ULIKUA unabadilika rangi, nilijiuliza sana, sikupata jibu nikahisi labda huenda ni hali ya kawaida, kweli nikapiga chini, sababu wanao fahamu hii miti ya madafu hua ina kauka na kudondosha tawi.
Lakini kadri siku zilivo enda hali ikawa ngumu, japo tunamwagilia lakini ina kauka tu kila uchwao baadae ndio tukatambua kweli mti huu unaenda kupoteza uhai, maana hata ile ambayo tuliipanda kwenye makopo tayari ilikua dry yote hakuna uliosalimika na maji imekunywa ya kutosha hivo ilikua swala la muda na huu kufuatia.
Kipindi hicho ungenambia niukate niutupe Wala nisinge kataa nilikua disappointed sana, maisha yakaendelea.
Sasa siku za mbeleni tukiwa tumekataa tamaa, lakini tukimwagia maji Bora liende ndo kuona ukaanza chipua tena, mpaka kufika hii hali unayoona kwenye PICHA japo haipendezi sababu ni ukungu wa mvua.
FUNZO nililo pata, tusikatie vitu tamaa tupambane Hadi pale unapo ona no life again lakini at time unapumua mapambano yaendelee, huenda Kuna watu au vitu tulivitoa kwenye maisha yetu ingali tunge vumilia Leo hii tunge kua tuna vuna matunda.
Home kwa Greate ThinkerHapo ndio kwenu?
Pole,ila kwenu pazuri sana,hongera...Kipindi huu MTI unapandwa tuliweka nguvu sana kuhakikisha una kua salama, tulimwaga maji mengi sana kadiri ya uwezo na ilikua ni kawaida yetu. Sikua na muda nao sana nikiendelea na ratiba zangu za kila siku.
Siku Moja nikiwa naingia ndani, nilipata mshituko, Kuna jambo nililishuhudia, la haula, huu MTI ULIKUA unabadilika rangi, nilijiuliza sana, sikupata jibu nikahisi labda huenda ni hali ya kawaida, kweli nikapiga chini, sababu wanao fahamu hii miti ya madafu hua ina kauka na kudondosha tawi.
Lakini kadri siku zilivo enda hali ikawa ngumu, japo tunamwagilia lakini ina kauka tu kila uchwao baadae ndio tukatambua kweli mti huu unaenda kupoteza uhai, maana hata ile ambayo tuliipanda kwenye makopo tayari ilikua dry yote hakuna uliosalimika na maji imekunywa ya kutosha hivo ilikua swala la muda na huu kufuatia.
Kipindi hicho ungenambia niukate niutupe Wala nisinge kataa nilikua disappointed sana, maisha yakaendelea.
Sasa siku za mbeleni tukiwa tumekataa tamaa, lakini tukimwagia maji Bora liende ndo kuona ukaanza chipua tena, mpaka kufika hii hali unayoona kwenye PICHA japo haipendezi sababu ni ukungu wa mvua.
FUNZO nililo pata, tusikatie vitu tamaa tupambane Hadi pale unapo ona no life again lakini at time unapumua mapambano yaendelee, huenda Kuna watu au vitu tulivitoa kwenye maisha yetu ingali tunge vumilia Leo hii tunge kua tuna vuna matunda.
adriz de mbusii kapanga chumba kiwalani huko. Ila utadhani anamiliki mansion masaki.Duh! Jf kila mtu wa kishua kasoro Mimi tu
Amenambia anataka kuongeza mke, nije nikutege ili uwe una saidiana na dada kumpa rahaDogo mangi naona unaturingishia ghorofa la shemeji yako mume wa dada yako.
DahUlitaka tuone hapo home wewe
Ulitaka tuone hapo home wewe
Mwanamke yupi, mi na ongelea mti kaka, usiwe unajiuongeza kupita kiasi ni hatari utapotosha ummaMti kukauka means kuna vimelea vipya vinavyosababisha mmea kudhoofu😂
Fumbo lako nimeelewa
Inshort achana na huyo mwanamke hakufai.