Huu mti nao umekaaje?

Huu mti upo kwenye udongo usio na rotuba hii kitaalam inapelekea mizizi kujitokeza nje!!! Ni vema ajitolee mtu akauwekee mbolea hasa huu aliyeileta hii picha
 
Seem mizizi ya pembeni ilizembea kutafuta maji hali iliyopelekea mzizi mkuu kuchukua jukumu la kufanya kazi hiyo wenyewe na kuiacha mizizi iliyoshindwa kazi ikiwa wazi...soon Camaraderie ataenda kuisetiri km alivyoahidi!...
 
Imenikumbusha pale vingunguti kwenye mnada wa mbuzi mabeberu yanapandana kama hayana akili nzuri, yaani ufirauni mpaka kwenye miti na wanyama kweli dunia imekwisha.
 
Ukiangalia kwa makini shinani hapo karibu na mizizi upande wa kulia utaona sura ya mtu mume ikijionesha dhahiri jicho la kulia, pua na midomo, yaani kama anasikilizia vile. Kweli haya ni maajabu.
 
Ukiangalia kwa makini shinani hapo karibu na mizizi upande wa kulia utaona sura ya mtu mume ikijionesha dhahiri jicho la kulia, pua na midomo, yaani kama anasikilizia vile. Kweli haya ni maajabu.
Duhu, wewe kweli una macho makali. Nilikuwa sijaiona hiyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom