Huu mti nao umekaaje?

Mbona wana jf hamueleweki? What is wrong with you????
 
Nielekezeni ulipo nikamwage kifusi kufunika hiyo mizizi. Si vizuri mizizi ya mti kuanikwa hadharani kama hivyo.......lazima tuisetiri misitu yetu
 
Maajabu ya Mungu, kaumba vitu ili viwafurahishe watu.
 
Hii ni imagination. Inaonyesha namna watanzania tunavyo-imagine. Tubaki hivi hivi. Small minds discuss people and trees. Great minds discuss developments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…