Huu mtaa uko nchi gani....????

Jamaa mtundu sana alipost picha flani hivi kipindi cha nyuma ilikuwa ya ajabu sana
 
uyu jamaa ana umri mkubwa sana lakini nikimwangalia akiwa anatangaza huwa nahisi anajiona 18 years, huwezi amini ana mtoto form six au university. sijui limbukeni au nini, akiduna na kulembua BBC swahili huwa nabadilisha chanel faster kwasababu naona anakera.
 

Anaitwa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…