Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Ume ongea kiume zaidiKila mtu na riziki yake ila ni muhimu na lazima kuipambania
Ndivyo ilivyo kwa mfano mtu labda riziki yako ipo kwenye mapishi ni lazima uipambanie kwa kupika sana. Ni mfano tuUme ongea kiume zaidi
Ukuona mfano mwingine wowote ule mpaka mapishi? π³Ndivyo ilivyo kwa mfano mtu labda riziki yako ipo kwenye mapishi ni lazima uipambanie kwa kupika sana. Ni mfano tu
πUkuona mfano mwingine wowote ule mpaka mapishi? π³
Ukuona mfano mwingine wowote ule mpaka mapishi? π³
Nikitaka KUKUPANUA MAWAZO YAKO UTAKUWA TAYARI?Mfano mtu una mpa mchongo ana ukataa kabisa una mbembeleza una ongea nae vizuri yaan kwa kujaribu kumpanua mawazo atambue ata umuhimu wa ilo jambo ana goma
Mwisho yame mshinda mambo ndio ana kuja na kuanza tena kuomba msaada. Na kusema mda ule ujui Mungu kaniepusha na nini? Tuwe wakweli kuna mda riziki binadamu tuna zikimbia wenyewe Mungu tuna msingizia mnataka Mungu atoke uko akuambie fanya hiki? Kakupa maarifa jiongeze
Mimi binafsi sijawai kuukubali Kusema kila mtu na riziki yake
Muulize na wewe labda ata jibuπ
Nitakuwa sipiki mfee njaaπ€£π€£π€£π€£π€£
Ningekubali kama ungetumia ilo neno in english ila umetumia kwa kiswahili zaidi sitokubaliNikitaka KUKUPANUA MAWAZO YAKO UTAKUWA TAYARI?
Ipog ivyoUkiitwa kwenye fursa jua wewe ndo fursa yenyewe.
Mi nataka nikupanue mawazo yako nikuingizie new ideas.Ningekubali kama ungetumia ilo neno in english ila umetumia kwa kiswahili zaidi sitokubali
Chizi ume kula mchanaMi nataka nikupanue mawazo yako nikuingizie new ideas.
Mi nakula muda wowote. Sina muda maalum wa kula.Chizi ume kula mchana
Wew mchwa?Mi nakula muda wowote. Sina muda maalum wa kula.
Yes.halafu wewe Chawa.Wew mchwa?
Ukuona mfano mwingine wowote ule mpaka mapishi? π³
π
Sasa hapo nmekosea nini ππ€£π€£π€£π€£π€£