Wakuu mnaweza sema habari ya kutongozana ilishapitwa na wakati, sawa inaweza kuwa kweli ila kwa Dsm hata kumsogelea kumuongelesha mwanamke ni kazi ngumu.
Nakumbuka wakati nipo mkoani nilikuwa naweza muapproach mwanamke yeyote atakayenivutia, ila hapa mjini ujasiri wote umeisha, watu wako busy na wadada ndo kabisa! Iwe mjini, kituo cha basi, kwenye daladala hata mwendokasi.
Huwa inanitokea kila nikijaribu kumuongelesha mdada najishtukia na kujiuliza atanionaje. Hata namba chache nilizowahi chukua hazikuzaa matunda zaidi ya kuambulia kupigwa mizinga siku ya kwanza.
Kuna wakati nilikuwa najiuliza mtu anaanzaje kubeba malaya au baamed, ila sasa naanza kuwaelewa.. Kwa hali ya dsm kuliko kutongozana ni bora ununue tu huduma.
NB: Wataalam wa mambo nipeni mbinu, mnawawezaje hawa wadada wa mjini walio busy na smartphone na earphone muda wote??
Asisahau gari..hata la kuazima.tafuta PESA mkuu watakuja wengi tuu mpk uwakimbie
Asisahau gari..hata la kuazima.
@Marybaby hii ndo silaha ya mwisho pale mwanaume anapoishiwa ujuzitafuta PESA mkuu watakuja wengi tuu mpk uwakimbie
Fungua duka au kaofiski kokote ila isiwe vifaa vya ujenzi hutawapata au nunua kagali mkuuPesa ninazo.. Ila nawakuta wapi au wao wananipata wapi? Mbona naona mji uko busy sana?
Tunataka HELA tuu hakuna jingine baba@Marybaby hii ndo silaha ya mwisho pale mwanaume anapoishiwa ujuzi
Hivi Siku hizi mna nn mbona vijana wanawaogopa?
Pesa ninazo.. Ila nawakuta wapi au wao wananipata wapi? Mbona naona mji uko busy sana?
Ha ha ha ha[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] karibu town jomba,,Wakuu mnaweza sema habari ya kutongozana ilishapitwa na wakati, sawa inaweza kuwa kweli ila kwa Dsm hata kumsogelea kumuongelesha mwanamke ni kazi ngumu.
Nakumbuka wakati nipo mkoani nilikuwa naweza muapproach mwanamke yeyote atakayenivutia, ila hapa mjini ujasiri wote umeisha, watu wako busy na wadada ndo kabisa! Iwe mjini, kituo cha basi, kwenye daladala hata mwendokasi.
Huwa inanitokea kila nikijaribu kumuongelesha mdada najishtukia na kujiuliza atanionaje. Hata namba chache nilizowahi chukua hazikuzaa matunda zaidi ya kuambulia kupigwa mizinga siku ya kwanza.
Kuna wakati nilikuwa najiuliza mtu anaanzaje kubeba malaya au baamed, ila sasa naanza kuwaelewa.. Kwa hali ya dsm kuliko kutongozana ni bora ununue tu huduma.
NB: Wataalam wa mambo nipeni mbinu, mnawawezaje hawa wadada wa mjini walio busy na smartphone na earphone muda wote??
Ha ha shukrani mkuu..Ha ha ha ha[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] karibu town jomba,,
Hao unaowaona wako busy wengi wao hawajui hata wanakwenda wapi mkuu,wewe earphone zisikutishe sema nao tu ,
Wengine hata smart phone zao huwa zimezima charge ila masikioni ameweka earphone
ni kweli marybebe mnapenda ela kama mfukoTunataka HELA tuu hakuna jingine baba
[emoji38][emoji38]kazia vyema hapo,Hela na mabinti dam damni kweli marybebe mnapenda ela kama mfuko