ila hii hali sielewi kwanini..Watu wa Kilimanjaro huwa inawatokea sana...Udongo ule ukitembea peku mwezi miguu inakuwa kama msasa...Ukikaa sana hata kama unavaa kanda mbili miguu inapasuka mwingine hata shilingi unaweza ukaingiza kwa mpasuko...Hata usugue vipi...Udongo sielewi unaniniii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.