Mlevi kalewa pombe chakari nguo zake viraka kibao na kandambili zake anatembea huku kafumba macho hamadii kakutana na tajiri 1 njiani anataka ampe msaada mlevi anajibu kilevilevi huku kafumba macho "sitaki msaada wa masharti" mwanae amamkumbusha "dingieee hujui we masikini?" mlevi kachanganyikiwa hajui afumbue macho akamatie msaada au aendelee kuongea kafumba macho na msimamo wake huku home nako njaa kali jana watoto walilala njaa.

Zogo kati ya serikali na CCM kuhusu mwenendo wa serikaliMimi nimeshindwa kumuelewa msanii kwenye hii picha alikuwa ana maana gani!View attachment 956800
Hahahahaha!!!Hayo ni mazoezi ya kutembea vifua mbere na maandalizi ya kuwa dona kantry.
Hata yeye ana la kijani sema ulevi na umasikini hata hela ya sabuni hana ndo maana imebadilika rangi hivo alafu anajifanya jeuri akishalewa.Mwanae kavaa shati la kijani.
Ndiyo maana ye anataka alewe kila siku hata watoto walie njaa hana habariUlevi kweli kitu kibaya sana na ulevi ukishatoka kichwani unaanza kujuta
usiuelezee mchoro toa maana/tafsiri ya mchoroMlevi kalewa pombe chakari nguo zake viraka kibao na kandambili zake anatembea huku kafumba macho hamadii kakutana na tajiri 1 njiani anataka ampe msaada mlevi anajibu kilevilevi huku kafumba macho "sitaki msaada wa masharti" mwanae amamkumbusha "dingieee hujui we masikini?" mlevi kachanganyikiwa hajui afumbue macho akamatie msaada au aendelee kuongea kafumba macho na msimamo wake huku home nako njaa kali jana watoto walilala njaa.
Anatamani kuchukua ela ila anaona hayausiuelezee mchoro toa maana/tafsiri ya mchoro