Huu mchepuko una nia nzuri kweli ?

Mchepuko siyo dili. Mapenz umeyaelekeza kwa make wako huyo nimchrpuko tu anakulia hela. Munyime hela tuone kama atakuganda sasa! Acha upofu Wa mapenz achana na huyo mwanamke ndoa yako ipate aman
 
Eti jiji la Bashite
[emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
usifanye ujinga wa kumpa mimba huo mchepuko utaomba ardhi ipasuke sasa hivi mapenzi yamekolea unaona utamuuu sasa ngoja kinuke ndio utajua true colour ya huyo dada. Uliza waliowahi kukutwa na mikasa kama hiyo utaelewa
 
Wanawake kwenye hela huwa tuko zaidi ya wasanii, unaibiwa ndugu hebu kaa mwaka usimpe senti tano uone
 
Kwani una mpango wa kuachana na biashara ya michepuko ukishaachana na huyo? Ikiwa jibu lako ni HAPANA, basi huna sababu ya kumwacha endelea nae. Uzuri kesha kuhakikishia ya kwamba hata ikiwa utaongeza mchepuko wa pili na wa tatu bado atakuganda.

BTW inakuwaje bibi mkubwa aishi mtaa wa pili na sio mtaani kwako??????? Wewe unaishi na nani hapo mtaani kwako? Hapo sasa ndipo ilipo siri ya yeye kukuganda anajua anaweza kuitwaa hiyo nafas ya bibi mkubwa. Na tayari keshakusoma udhaifu wako wote na wewe hapo ulishafanya uamuzi hapa unachotafuta ni justification tuu.

Sasa bosi oa kabisa huyo mchepuko.
 
Kuna watu huwa mnakuwa wa ajabu sana. Hapo ulipo una uamuzi tayari halafu unakuja huku kutafuta backup ya unachotaka kufanya.
 
Hujamuoa bado ndiyo maana lazima awe mpole... Weka ndani uone makucha yake...
 
Mtaka yote ukosa vyote mkuu tamaa iliua fisi, kaa na mkeo mlee watoto, usifate wala kusikia ya watu mkuu
 
Mchepuko siyo dili. Mapenz umeyaelekeza kwa make wako huyo nimchrpuko tu anakulia hela. Munyime hela tuone kama atakuganda sasa! Acha upofu Wa mapenz achana na huyo mwanamke ndoa yako ipate aman
Mkuu aman usiamn huyu mtoto hana swaga za kipiga vibomu mwenyewe awalj nilifikiri hvyo sikumpa hela yoyote takriban miez 4 na hakunidai chochote anajiweza hela ya kula haimpigi chenga japo nilimfinance kamtaji kidogi
 
usifanye ujinga wa kumpa mimba huo mchepuko utaomba ardhi ipasuke sasa hivi mapenzi yamekolea unaona utamuuu sasa ngoja kinuke ndio utajua true colour ya huyo dada. Uliza waliowahi kukutwa na mikasa kama hiyo utaelewa
Mm ni ndomu mpaka kukuche au napiga nje sasa yy hilo hafurahii kabisa, na siwezi labda nilogwe
 
Mkuu huyu bb mkubwa anaishi karibu bado nasubiri mambo yakae sawa nimlete ndani...yy anajua kabisa a to z lakini bado hachomoki.
 
[QUOTE="guzman_, post: 20065864, member: 350359
>Akitaka kuja home utasikia hi baby naomba nije kama bb mkubwa hayupo (bb mkubwa
anaishi mtaa wa 2)..

>
NB: wife ana wivu sana

Sijaelewa unaposema bb mkubwa anaishi mtaa wa pili?? ina huyo unayemuita wife hamuishi pamoja au ni aje jombaa?!
 
Em dondosha namba yake hapa ili watu tujue kama kweli ni mgumu kiasi hicho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…