Huu kweli ni muujiza.

Void ab initio

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
5,703
5,635
3c204eda4f8f0be81179e22da825f38d.jpg
 
Siyo lazima wawepo wawezeshaji....inawezekana ana saloon mbili au tatu, duka la vipodozi, mradi wa kuku wa kienyeji/mayai/nyama, 'anajiongeza' kwa kufundisha/consultancy baada ya kazi, ana mashamba ya kukodisha huko Rufiji/ Morogoro/Kiteto ...na kadhalika na kadhalika....
Inawezekana lakini ni %chache sana wengi wao akili zao na khulka zipo wazi.
 
Back
Top Bottom