Ukiwa na mzigo kama huo ndani ya hausi unaweza jikuta unakuwa na bp,total na sheli hapohapo duuuuu
Anapimwa kama ni rijali...
Mkuu unaamaanisha kunengua au umbo?Ila huyu dada anamfikia yule shemeji yetu mke wa Gerard Pique?
Mkuu unaamaanisha kunengua au umbo?
umeona eeeh
Hajakufikia ata nusu miss wangu
Kama kunengua shemeji hana mpinzaniKunengua tu mkuu ilo umbo sio ishu
Ila huyu dada anamfikia yule shemeji yetu mke wa Gerard Pique?
Kama mtu anataka kuchat na utafiti ajaribu kwenda pm yako
Ila huyu dada anamfikia yule shemeji yetu mke wa Gerard Pique?
Mkuu watu8 naongelea kunengua, kuhusu hayo "mafriji" najua kama kanunua kwa jumla
Oooh!!! kama ni mambo hayo ya kutikisa nyonga bila shaka bi Shakira anatoa weweseko la maana...
Sipati picha ile mivaibresheni ya nyonga kama aliyoionesha kwenye Whatever au Hips Don't Lie unakutana nayo kwenye godoro la Comfy...
Lazima umkabidhi shamba la magimbi la urithi lile la Kimbiji....
Shikamoo nicki..nakodi hiyo minaji yako kwa masaa mawili zeni yu wili neva rigreti
umeona eeeh
Haina ubishi hilo mkuu, ndo unamkuta anatoka bafuni sijui anaonekanaje?
Simlaumu gerard kwa kushuka kwa kiwango cha soka