Huu hapa wimbo KAIZARI, uliomtia gerezani mwanasiasa Vitalis Maembe

Jamani. Alienda gerezani kwa ajili ya kukutana na mtu mmoja ili wajadiliane jambo. Hakuwa na hatia.

Hii ndiyo ssm ya KJ inavyowafanya Watu mapumbavu "Sufuria imetoboka, nyama zimevuja mchuzi umebaki, chukueni mnywe".
KJ na genge lake ni "Kideli"., "Mpishi komba mboga".
Bado malenga hakuweka
"wasiojulikana",
"Kubambikizwa kesi kimkakati
"Kufilisiwa na kudhurumiwa",
"Wizi wa kura na uroho wa madaraka:
"Mauaji ya kisiasa".
"Uongozi wa kigaidi", "Kufanya vitisho ili watu wasihoji kwa hofu".
 
Back
Top Bottom